- Thread starter
- #41
Tanzania tumefikia hatua hii kutumia mitandao vibaya wakati tuna matatizo kibao umesahau kwamba kijijini kwenu watu wamepoteza tumaini uliyeleta huu uzi jaribu kuwa mzalendo hata chembe ya haradai
Mbona kijijini kwetu nina michango mingi tu aisee!