Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Mkuu, kwa hiyo na wewe umekaaa ukafikiria ukaona amedhamiria kabisa kuanzisha huu Uzi??Mkuu katika siku umeanzisha nyuzi ya kitoto ni leo?
Hii nyuzi imekaa kikahaba sana, hua nimekueka group la wanawake wenye ubongo mkubwa sana humu Jf ...but not anymore
Naanza kuamini wengi wa wasichana jf hawana utofauti na wale wa badoo,sema ndo vile baadhi wanajitahidi sana kujificha hadharani ila ukimuotea angle yake utakuta ni walewale...leo mkuu umeteleza sana,au ulikua unapost ktk ID ya matukio bahati mbaya umepost kwa ID yako ya heshima?
Narudia tena...Huu uzi ni wa kitoto mno...
Sent using Jamii Forums mobile app
I am pretty sure mkubwa ameamua kuchangamsha tu genge.Naelewa lakini kwa kaliba ya watu wengi walivyo hapa hawataambulia elimu wala kujifunza kitu.
Ingetosha kufikisha ujumbe wa watu kuheshimu nyuzi za wengine bila kuingiza mambo yao yasiyohusu mjadala.
Wavurugaji wapo wengi na sio wote wanatongozana. Hii haitakua njia bora ya kutatua hilo tatizo.
Haha ndio nimesema hum ndani ni shida, unaweza kuwa unataniana na mtu unajua mtu mzima mwenzio kumbe katoto khaa
Sent using Jamii Forums mobile app
I am pretty sure mkubwa ameamua kuchangamsha tu genge.
I still believe we are ghosts in here despite few of us knowing eachother.
Hongera mtoto wa kishuaHahahah under 18 ila JF nimekuwepo toka 2012
Nilijiunga nikiwa na 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubavuni kwako nipo mimi napitia ambazo unaziruka kusoma[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahhaaaaaa nimekuja kusoma comments [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu,dada mkubwa kateleza aisee! Uhakika wangu ni kukosea ID ya kutumia! Naanza amini ID yake ya matukio ipo humu bila kufahamika!Mkuu, kwa hiyo na wewe umekaaa ukafikiria ukaona amedhamiria kabisa kuanzisha huu Uzi??
Haikukupitikia kwamba she is joking?? She is a person of her own status, she knows her standing and she would never diverge.
Nina imani kubwa mtu mzima ameamua kuchangamsha genge na vijana.
Humu hatutakiwi kuwa serious kihivyo mzee hususan MMU. We are having fun here bro
Unaweza kuamua kuchangamsha genge kwa staha Chief, hapa yataibuka mambo ya kijinga jinga sana tu.
Kuna jamaa yangu anatumia ID ya Watu8 , naipenda sana signature yake.
I still have a lot to learn.Unaweza kuamua kuchangamsha genge kwa staha Chief, hapa yataibuka mambo ya kijinga jinga sana tu.
Kuna jamaa yangu anatumia ID ya Watu8 , naipenda sana signature yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo.......Endelea hukonakupenda bibi kizeeee nakupenda kikongwe....
Hili pia lisipuuzwe.aisee, kuna mtu ame 'hack' account yako ee !