Msiwe na haraka sasa....siunajua hata darasani ticha huwa anakagua kwanza ndio paper linaendelea? Atakuja ngoja nahisi amepandikizwa kusema yuko Ar ila hayuko huku.itabidi tumnunue kwa mkopo . Ciello sweetheart nakuomba ujoin wing yetu ya Dar maana huko wanakutenga...si unajua nabii hakubaliki kwao!
hivi wewe Kipipi hiyo tabia umeanza lini? inawezekana vipi nikupe hi! uuchune na kujifanya huoni post yangu? kama hutaki nikusalimie nambie niwasalimie wengine isije kuwa salamu yangu inakuharibia. mia
Hivi St. Paka Mweupe ni wa wapi?Nyie tifuaneni weeeeeeeeeeee,mkishachoka kutifuana hakikisheni mnampigia kura Arabela mutoto ya Tanga
Kanuna huyoo hadi kaenda kulalaNisamehe mpendwa wangu,
Ni bahati mbaya tu sikuiona..........nikuchunie mie nifaidike nini atii???
BTW, mi mzima figganigga,
Habari yako?
Nyie tifuaneni weeeeeeeeeeee,mkishachoka kutifuana hakikisheni mnampigia kura Arabela mutoto ya Tanga
Kanuna huyoo hadi kaenda kulala
si ndo hapo hata mi nashangaa!!. mimi sijambo. nikajua wataka mwaka niumalize vibaya. hivi hizo avator wewe ni mdogoe sweetlady?. nafurahia uwepo wenu jf. thanx. miaNisamehe mpendwa wangu,Ni bahati mbaya tu sikuiona..........nikuchunie mie nifaidike nini atii???BTW, mi mzima figganigga,Habari yako?
Napita tu waungwana! Ucku mwema
nani kasema? unata nilale uniibie Kipipi wangu?. nawaangalieni kwa mbali..kama kulala baadae sana. miaKanuna huyoo hadi kaenda kulala
si ndo hapo hata mi nashangaa!!. mimi sijambo. nikajua wataka mwaka niumalize vibaya. hivi hizo avator wewe ni mdogoe sweetlady?. nafurahia uwepo wenu jf. thanx. mia
Haya watu8 naenda kupiga kura.Mnamo tar 3 Novemba 2012 mheshimiwa Ruhazwe JR aliweka uzi ambao link yake ipo hapo chini, akiyatambulisha mashindano ya miss CC kwa wana CC wote. Kati ya watu walioombwa kutoa maoni yao katika lile bandiko mama la uzi husika ni huyu ndugu yetu Erickb52. Pamoja na kupewa heshima hiyo ya kipekee, bado ndugu huyu hakutoa mawazo yoyote ya kujenga na leo hii tar 21,22 Desemba 2012 ndio anaibuka na hizi tuhuma(kama Magamba wa Batlida). Wakati na mahali alipopewa nafasi hakuyasema haya, hivyo kwa kuyazungumza haya sasa anakiuka utaratibu elekezi uliowekwa wazi hapo awali.
Erickb52, haya tunayahesabu kama majungu!!! WALE WA MKODIBWE HEBU FANYENI MAZOEZI YA NYONGA, NA NYOOSHENI MISULI YA VIDOLE....hahahah!!!
Yafahamu haya kuhusu mashindano ya Miss CC
Nimekuwa nikifuatilia haya mashindano ya miss chit chat nashangaa sana sijawahi kuona mshiriki toka Arusha hata mara moja...imeniboa sana kila siku Dar au kwa kuwa mwendeshaji ni wa Dar?
Au Arusha mnaona sisi sio wa Chit-Chat????
Hata km hatuna wadada kwanini hao wachache wasipewe nafasi hata moja?
Im so bored lazma uandaaji uwe fair bhana.
Copy kwa Arusha Wing
Lily Flower Filipo marejesho sweetlady PakaJimmy Arushaone LiverpoolFC Blaki Womani Preta Mamzalendo Mungi Mzee wa Rula Tonykp IGWE Loner Mr Rocky Kabakabana
wivu ni kidonda ukishiriki utakonda