Miss Chit Chat haiko Fair

Miss Chit Chat haiko Fair

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,554
Reaction score
11,485
Nimekuwa nikifuatilia haya mashindano ya miss chit chat nashangaa sana sijawahi kuona mshiriki toka Arusha hata mara moja...imeniboa sana kila siku Dar au kwa kuwa mwendeshaji ni wa Dar?
Au Arusha mnaona sisi sio wa Chit-Chat????
Hata km hatuna wadada kwanini hao wachache wasipewe nafasi hata moja?
Im so bored lazma uandaaji uwe fair bhana.

Copy kwa Arusha Wing
Lily Flower Filipo marejesho sweetlady PakaJimmy Arushaone LiverpoolFC Blaki Womani Preta Mamzalendo Mungi Mzee wa Rula Tonykp IGWE Loner Mr Rocky Kabakabana
 
Last edited by a moderator:
Hebu orodhesha kwanza washindi waliopita kila mmoja na lokesheni yake...baada ya hapo ndio ulete habari ya kuonewa au lah!!
 
Hebu orodhesha kwanza washindi waliopita kila mmoja na lokesheni yake...baada ya hapo ndio ulete habari ya kuonewa au lah!!
Washiriki wote ni Dar ispokuwa Charminglady Mwanza na Arabera Tanga na Beibe nasty Mwanza
 
Arabela Makao Makuu ya JF yako Arusha na alichotolea lalamiko Erickb52 ni kuwa hapajapatikana Miss ChitChat from Arusha! Yamekupataje? BTW tunakuja TANGA soong.................!!
Si wangempa nafasi hata mmoja tu lakini haijawahi tokea...labda Ruhazwe JR anambie vigezo vya kupata mshiriki
 
Last edited by a moderator:

By the time anaupata umiss wa Novemba, alikua anakaa pande hiyo...kama wakumbuka ndio kipindi alifanyiwa exclusive interview na Zinduna.
Ciello dear, kuja pande hii please...watu8 needs you sweetheart!!
 
Last edited by a moderator:
Kwanini huwa hamuwapendekezi members wenu na mkawapa kura nyingi?

Kipipi hata kwenye ushiriki wa awali hawajawahi kuteuliwa tutawapigiaje kura?
 
Last edited by a moderator:
Washiriki wote ni Dar ispokuwa Charminglady Mwanza na Arabera Tanga na Beibe nasty Mwanza

Is Beibe nasty amoung the contestants...cant find her name kwa polls radio buttons!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom