Miss Chit Chat 2012

una maana hamkutumia kitendea kazi,we Filipo wewe! na we marejesho wewe!

Sasa Bishanga ndoa itakuwa na maana gani?Yaani virutubisho viwekwe kwenye manailoni? Kwa taarifa, mie nilichoka pipi za kwenye makaratasi ndio maana nikakubali ndoa haraka na matunda yake nimeyaona........
 
Last edited by a moderator:

Mwambie huyo awache umbea!!! Manailoni yawafaa pureimari!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…