donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wacha weee na ma rose rose kwa raha zenu apo bado udi tu lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wacha weee na ma rose rose kwa raha zenu apo bado udi tu lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mkuu tumesota wote sana kwenye game, acha tukamate mundweleNa miss chagga mwenyewe anavyopenda maua basi!!!
lols, usijali mkuu!duuuuuuuh mnatutamanisha jamani.
kama mtahitaji mtu wa kuwapepea mimi nipo hapa
Mwanangu miss chagga kwanza hujambo? Mwanangu hebu niambie vizuri kuhusu huyu mtu naona simuelewielewi
donlucchese unajua miss chagga ni mtoto wangu, nataka kuhakikisha usalama wakeheheh, mkuu utafiti vp tena?
donlucchese unajua miss chagga ni mtoto wangu, nataka kuhakikisha usalama wake
heheh, mkuu utafiti vp tena?
baba huyu ni rafiki uliniambia nitamleta nyumbani umchunguze kama atafaa kuwa mkwe wako baba ila mwambie mama kuna mgeni wako ili asije mtimua lohMwanangu miss chagga kwanza hujambo? Mwanangu hebu niambie vizuri kuhusu huyu mtu naona simuelewielewi
Wacha weee na ma rose rose kwa raha zenu apo bado udi tu lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
huyu ni baba yangu acha maneno mengi wewe atakunyima kuongea na mimi
baba huyu ni rafiki uliniambia nitamleta nyumbani umchunguze kama atafaa kuwa mkwe wako baba ila mwambie mama kuna mgeni wako ili asije mtimua loh
Anhaa, daah samahani sana baba@utafiti aisee sikujua
Mwanangu huyu ndo mkwe wangu? Mama yako unamjua vizuri lakini, mkwe hajui kusema shikamoo? Ngoja nimchunguze vizuri sna mwanangu