gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
duuuuuuuh mnatutamanisha jamani.
kama mtahitaji mtu wa kuwapepea mimi nipo hapa
Unahtaj partner Wa kuwapepea?
duuuuuuuh mnatutamanisha jamani.
kama mtahitaji mtu wa kuwapepea mimi nipo hapa
daah aisee sikufahamu kipenzi and najiskia vibaya kucreate wrong impression at first glance. ila naamini baba anatanirlewa tu bila matatizo
Full ndoto mpaka kukuche...na wawaache mlalee zenu
Nikajua mkuu unataka kula chabo.mkuuu
Ila Angalia usije ukapofuka macho mkuu maana vijana Wa siku hz wana laana sana usije ukamkagia sana
Hapana miss chagga hana tabia yoyote mbaya
Heheheh eeeh ?hua unakuwepo anapocheza bila kukunja goti?naulidha tu
Heheheh anti acha tukamate mundwele hahahah
Full ndoto mpaka kukuche...na wawaache mlalee zenu
He he he kumbe hua unanywea eeh
hakuna shaka mkuu utafiti, safety is guaranteed 100%donlucchese unajua miss chagga ni mtoto wangu, nataka kuhakikisha usalama wake