Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,360
- 11,586
Kama huna kadi ya benki inayoeleweka, nenda na kikopo cha Parachute
Wewe mzee umese.ma jina la Kaundime umenikumbusha mbali sana .Nishatoka kwa mama kaundime, nimekula wali, maharage na mchuzi wa kibua sijaacha hata mchuzi , nikapewa na maji kwenye jagi nimepiga yote mazee