Mishahara ya walimu itapanda

Huyu c mwl ni dem wa mwalimu anauliza mshahara wake il ajue jinc gan ya kumchuna.

eti mshahara bei gani? Kamwe kwa aina hii ya walimu watoto hawataambulia chochote, sasa nimeanza kupata picha yule mkuu wa wilaya kwanini aliwacharaza viboko walimu, kumbe tunao wa aina hii!!!
 
eti mshahara bei gani? Kamwe kwa aina hii ya walimu watoto hawataambulia chochote, sasa nimeanza kupata picha yule mkuu wa wilaya kwanini aliwacharaza viboko walimu, kumbe tunao wa aina hii!!!

hata yule mkuu wa wilaya pia alikua kizibo.
 
mbona mna wadhihaki walimu kana kwamba nyie hamkufundishwa na walimu! mtu kaulizia mishahara kwa nia nzuri lakini watu tunajifanya "too much talk_tive"
Watanzania tubadilike.
 
Mnaowadharau walimu siku moja mtawatii tu. Mwalim kauliza, nyie mnamjia juu kwani kuuliza ni kosa siku hizi. Kama huna jibu sio lazima uchangie.
 
ogopa sana neno KU-UPGRADE, kama mwanafunzi akifel anafaulshwa what do u expect? kwa mantk hiyo umuhm wa mwalm unaonekana mdogo sn. na usishangae kuona wasiojua kusoma wako vyuo vikuu kwa siku za uson
 
Naomba nijue mishahara itakuwa bei gani wakuu/?

Kwa walimu diploma na degree?

Ndugu kinene mishahara ya wafanyakaz wa umma wengi itapanda kwa asilimia 29 had 30,[walimu pia]so kokotoa hizo percent kwa current basic salaries utapata majawabu.
 
Mtu akipost mada wachangiaji tuoneshe kuwa tunachangia kwa sababu tuna cha kuchangia siyo tunachangia kwasababu inabidi tuchangie.
 
Back
Top Bottom