The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,136
- 8,005
Maana ya basic salary ni kiasi cha mshahara baada ya kukata pesa ya pension, na gross salary ninkabla ya kutoa hela ya pension. So heslb wanakata 15% of basic salaryNaomba nieleweshe tofauti yake
