DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,904
- 4,229
Hii ni 2018, leo 2025 salary bei gani?kupitia hii post na nyingne nyingi,nimejua tu kuwa si kila jibu la JF member Ni kweli,wengi wanajibu mambo wasioyajua,mfano mtu anasema "T.A. Ni kazi inayokufanya utegemee mshahara tu" huyu ni muongo kabisa maana academicians wako free kabisa na Kama Ni mtu wa kazi nyingi uko huru kufanya shughuli zako ilmradi uwasilishe matokeo ya wanafunzi bila malalamiko,kingine mshahara wa T.A. wa kuanzia sio 1.8M,ni chini kidogo ya hapo;