Mishahara ya tutorial assistant vyuo vya umma

Mishahara ya tutorial assistant vyuo vya umma

Kigezo sio elimu tu pamoja na experience.

Wapo wenye masters ni ma lecturer na wapo wenye masters ni ma tutor.

Experience na mpaka HR akufanyie categorization.

#YNWA
Bila kusahau publications..... ukiwa scholar publications ndo kila kitu.
 
Kigezo sio elimu tu pamoja na experience.

Wapo wenye masters ni ma lecturer na wapo wenye masters ni ma tutor.

Experience na mpaka HR akufanyie categorization.

#YNWA
Hatuwezi kuwa na masters halafu ukawa tutor labda hiyo masters uwe haukufikisha gpa ya 4 na chetu chake haujakionyesha wakati wa kuomba

Ila Ni kweli unaweza kuwa lecture na ukiwa na Masters tu + publication za kutosha

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Nasikia kwenye vyuo vya afya

Masters ya Miaka 3 unakuwa lecturer

Ya Miaka 2 unakuwa assistant lecturer
 
Mi navyojua TA anaanza na 1.2m bila masters wakiipurura kutoa makato yote na kodi hukosi take home ya 800,000! Kufikia u lecturer inakuwa 2.2m wakikata ni 1.8m hapo unali masters lako tayari! Ukilikurupua li PhD mzigo unapanda tena kwa associate proffessor hadi proffesor kamili unagonga around 3.5m to 6m!
kwa nini nisikimbilie kwny siasa😂😂😂
 
mie ningependa kujua tofauti ya
Tutor
Instructor
Lecturer
na
Assistant lecturer
Tutor na instructor wote Ni level moja hapo Elimu yake Ni kuanzia shahada ya kwanza Ila awe na vigezo.
Then Lecture yeye awe na Elimu kuanzia shahada ya pili na mwenyewe vigozo pia hivyo hivyo kwa Assistant lecturer yeye Elimu yake Ni kuanzia shahada ya pili na awe na vigezo Ila awe amepitia ku lecturer.
I will stand to be correct
 
SHUKRANI MKUU KWA UFAFANUZI WAKO
 
kupitia hii post na nyingne nyingi,nimejua tu kuwa si kila jibu la JF member Ni kweli,wengi wanajibu mambo wasioyajua,mfano mtu anasema "T.A. Ni kazi inayokufanya utegemee mshahara tu" huyu ni muongo kabisa maana academicians wako free kabisa na Kama Ni mtu wa kazi nyingi uko huru kufanya shughuli zako ilmradi uwasilishe matokeo ya wanafunzi bila malalamiko,kingine mshahara wa T.A. wa kuanzia sio 1.8M,ni chini kidogo ya hapo;
Vipi kuhusu posho ?
Je ni kweli kuna teaching allowance kwa kila kipindi unachofundisha?
 
Vipi kuhusu posho ?
Je ni kweli kuna teaching allowance kwa kila kipindi unachofundisha?

Inategemea na chuo. Kuna baadhi ya vyuo TA anatakiwa kuwa na somo moja kufundisha na assist moja. Kama atakuwa na masomo extra anakuwa analipwa
 
Inategemea na chuo. Kuna baadhi ya vyuo TA anatakiwa kuwa na somo moja kufundisha na assist moja. Kama atakuwa na masomo extra anakuwa analipwa
Ukishaweka neno "Inategemea" maana yake vyuoni hakuna posho yeyote iliyo rasmi kutoka kwenye majukumu yako ya kawaida. Maana hiyo Kabudi alikuwa sahihi aliposema alitolewa jalalani
 
Back
Top Bottom