Mishahara ya marais wa Afrika

Kwakifupi sera za demokrasia, maendelelo, mabadiliko, na maandamano zimeachwa na kuwekwa sera ya udanganyifu.
 
fisadi uchwara,mbana matumizi uchwara..ndio maana hadi leo kala kona kuonyesha salary slip yake!
 
Bilioni moja kwa mwezi? Sio mzima wewe!
Angalau kuna huyu wa 1.3B kwa mwaka.

Paul Biya
President Cameroon
Born: 1933 Cameroon
Married
Children: 3
Annual: TZS 1,341,163,274.00
Monthly: TZS 111,763,606.00
Weekly: TZS 25,791,601.00
Daily: TZS 3,674,420.00.
 
Nimeingia katika hii website nilitaka kuamini na ulichoandika lakini nilipoona mshahara wa Obama ni dola 426,000 kwa mwaka na Hillary Clinton ni dollar milioni sita kwa mwaka nimeshindwa ku amini kama wanachokisema kina ukweli.
 
Mbona haweki wazi pay slip yake kama alivyoahidi?

Naamini watanzania wamejionea wenyewe ulaghai wa mtu huyu.
 
Huyu rais hana uchungu na nchi hii hata kidogo, ukute hapo hata PAYE hakatwi!
Usiamini kila kitu acha uvivu hii website ni kanjanja inasemaje Hillary Clinton secretary of state mshahara wake kwa mwezi unazidi mshahara wa mwaka wa Obama. Wakati ktk chart ya mishahara ya viongozi Marekani rais ndiye mwenye mshahara mkubwa akifuatiwa na makamu wa Rais,spike, chief justice. Na huyu Hillary Clinton mshahara wake ulikua dola 186,000. Ni vizuri kufanya tafiti zako kwanza mishahara ya Marais wengi afrika ni ya siri hivyo wanachokifanya ni kutungq tu.
 
Nimeingia katika hii website nilitaka kuamini na ulichoandika lakini nilipoona mshahara wa Obama ni dola 426,000 kwa mwaka na Hillary Clinton ni dollar milioni sita kwa mwaka nimeshindwa ku amini kama wanachokisema kina ukweli.
Rates zao ziko kwenye Rand siyo dollar.
 
Yan hivi vijisenti ndo vinampa Juma kiburi chote alicho nacho kiasi cha kutamani kutembea juu ya vichwa vya raia....halaf umesema ana mke 1 na watoto 5 lakini mimi nafahamu ana wake 2 na watoto zaidi ya hao 5
 

1. Maana yake ni kwamba ndani ya miaka mitano Rais JOHN POMBE MAGUFULI atajikusanyia jumla ya TZS. 2,115,000,000/= (yaani 2.115bn)

2. Tukumbuke huu ni mshahara wake tu ambao mimi naamini huwa hata haugusi kwa matumizi ya kawaida kwa sbb kwa nafasi na hadhi yake yeye na familia yake yote, ukoo wake woote wanakula na kuvaa na kutibiwa kwa kila kitu chenye hadhi na nembo ya serikali ya JMT. Wanasafiri bure, wanasoma bure na kila kitu wanachokihitaji!!

3. Hapa chukua marupurupu yake mengine kama vile posho zake za safari anmbazo kwa namna yoyote huwa hazitumii zaidi ya kukuta ameandaliwa kila kitu na kwa maana hiyo hizo zinaingia moja kwa moja kwenye pool yake na hakuna auditor wa kukagua hiyo kitu!!

NOTE: Hapa ni achilia mbali milungula inayojileta tu jumlisha lile linaloandaliwa na kuuza majengo ya serikali jumlisha ikulu ya magogoni!!

Angekuwa anaona mbali huyu, angefanya kujilipa kimshahara kidogo kama mwenzake wa Uganda lakini akiwa ni bilionea kuwazidi hata akina Donald Trump!!
 
Hiyo mishahara ni porojo tu, eti museven kwa mwezi anapata mshahaea wa sh. Milioni mbili wakati yeye ndo mtawala wa Uganda. Hao wanajilipa wanavyotaka wao.
 
Rates zao ziko kwenye Rand siyo dollar.
Mimi nineweka ktk dollars maana hii website ina domain ya south Africa ndiyo maana wametumia rand wameweka Barack Obama annual salary ZAR 5,907,522.00 Monthly ZAR 492,294.00 Hillary Clinton secretary of state annual ZAR 79,265,487.00 MONTHLY 6,605,457.00 ukiona convert kwenda ktk dollar hillary anapata milioni sita kwa mwaka sawa na zaidi ya laki 4 dola kwa mwezi wakati ki ukweli mshahara wa hillary ulikua laki moja na themanini na sita
 
Rates zao ziko kwenye Rand siyo dollar.
Mimi nimefanya kama wewe ulivyofanya tofauti mimi nineweka ktk dollar wewe umeweka ktk madafu sielewi hujaelewa nini na nini unatetea ukweli umekurupuka kuleta hapa ulirakiwa kutueleza pia huna uhakika kama data zao zipo authentic badala ya kuacha watu wavivu wabwabwaje.
 
Kama ni kweli ndio maana lowasa alikuwa anagawa mamilioni ili aingie ikulu akijua zitarudi mara mia..
 
Mbona haweki wazi pay slip yake kama alivyoahidi?

Naamini watanzania wamejionea wenyewe ulaghai wa mtu huyu.
Swali lako Zuri sana pia ujiulize hawa wa south wamepataje mshahara wa magufuli na wengine wakati viongozi wengi wa afrika mishahara yao ni siri. Hujui hata mshahara wa mbunge wako utajuaje mshahara wa Rais? Kina Lisu Zitto unadhani wajinga kukaa kimya bila kufuatilia hiyo pay slip. Wanaju a kabisa wapo katika kapu moja mimi hapa nikipo najua waziri wangu mkuu anakula kiasi gani na mbunge wangu anakula kiasi gani wewe sidhani kama unajua. Lakini wakitaka kick wanajifanya wapo na wewe uwe ccm ama upinzani kumejaa matapeli tu.
 
Naona chegadema mnajitahid kila namna kumchafua mtukufu wetu, lakb hamtashinda kamwe, uyu anapga kaz na hawez kukatshwa tamaa na ninyi
 
Safi sana.
Rais wetu yupo namba tatu,baada ya Zuma wa SA na Biya wa Cameroon.
Tunaeda vizuri,kidogo kidogo na baadae mwalimu wa Tanzania atakuwa top 3 ya kuwa na mshahara mkubwa Africa..
 
Naona chegadema mnajitahid kila namna kumchafua mtukufu wetu, lakb hamtashinda kamwe, uyu anapga kaz na hawez kukatshwa tamaa na ninyi
Kwa akili yako unafikiri data hizi zimekusanywa na Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…