Mishahara ya marais wa Afrika

Mkuu mi sina facts lakini naona kama umetudanganya. Mkuu si alisema salary yake ame reduce mpaka 9million per month we hapo umeandika 35million

mshahara wa raisi katika katiba unapunguzwa au kuongezwa na bunge kama aliongea yeye ni muongo.
 
Kumbe ndo maana hatoa zile .... Alizo haidi pale cloud fm
 
Acha upumbavu mtoa mada. Hivi hivi hujikuta mkishughulikiwa. Japo siiungi mkono serikali ya JPM na vilevile hata kwa wewe mtoa mada najua hukubaliani na serikali ya mheshimiwa lakini kabla ya kutoa taarifa zozote fikiria athari zake.
Fungua "mywage" badala ya kumshambulia. Kwani si amesoma na kuandika kama wengine tu.? Unadhani Ikulu hawajasoma hiyo kitu?
 
mleta mada umezidi kunivuruga zaidi zaidi n.a. hivi mshahara ushaisha bas niache tu kusema
 
Rais muongo alafu anakwambia mniombee.......

Uzalendo uchwara.......

Ila kila wanne mmoja atatoka kumtetea sitashangaa...........
Kwa huo mshahara alipangwa kipindi cha hawamu hii?
 
Hapa utawakamata wajinga wengi sana calibre ya bavicha.
 
Halafu anawbia wenzake wa 35,000,000 kuwa wana mishahara mikubwa. He is not.serious God Lord
 
life sio Fair kabisa

Huku kuna viumbe vinalalamika Mikopo

Huku kuwa watu wanalipwa mamilion ya mijifweza
Ndo maana nimesema hapa kuna mataahira watakamatwa kwa sababu ya kuingia mazima. What has happened to common sense??
 
Acha upumbavu mtoa mada. Hivi hivi hujikuta mkishughulikiwa. Japo siiungi mkono serikali ya JPM na vilevile hata kwa wewe mtoa mada najua hukubaliani na serikali ya mheshimiwa lakini kabla ya kutoa taarifa zozote fikiria athari zake.

Athali zipi? Kusa ukweli
 
Kwa kodi inayokusanywa kwa sasa aongezewe japo ifike 57m per month.
 
Ndo maana nimesema hapa kuna mataahira watakamatwa kwa sababu ya kuingia mazima. What has happened to common sense??
Mapovu ya nini nani kakulazimisha kuamini, sepa kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…