Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Liquidity ndo inalipa mishahara, sio 'potential' ya rasilimali..ambazo hata hivyo tumeshindwa kuzipa thamani.unless utuambie turudi kwene ujima wa barter trade..Kiwango cha uchumi una maanisha nini? Tz ni tajiri kuliko zambia, namibia na nchi nchi nyingine sema tu tumeshindwa kutumia rasilimali zetu. Rwanda ni kanchi masikini ila madaktari wao wanapata zaidi ya milioni 5 za Tz. Utaniambia ni wachache, kumbuka pia wao wana rasilimali chache. Kama swala ni uchache na wingi wa watu basi USA wangekuwa masikini. Wao marais wao hawapo angani kila siku kula kodi za umma, hawalipani vikao nk ndio maana wanamudu kulipa vizuri
milion Tsh au ni katika viwango vyao!nigeria-1.57millioni
ivory cast-zaidi ya 1.54 millioni
figures uzoeka zina maana gani? tuanzie hapo.mchango wako unafanya thread izidi kutoeleweka
umepita wewe na nani?hatuwezi kuanzia sehemu ambayo tumeshapita
Huu ni mshahara wa daktari anayeanza kwa kiwango cha shillingi za kitanzania
Zambia-millioni 1.9
Namibia-millioni 5.7
Africa kusini-millioni 6.2
botswana-millioni 4.023
kenya- walikuwa wanadai milioni 3.299
wazambia wamemuingiza sata kawapa hizo mwaka huu ni nyongeza ya 100%
Mambo mengi hapa kwetu yanawezekane ila tumekaririshwa kuwa 'nchi yetu ni maskini,nchi yetu ni maskini' huo ndo wimbo tunaoimbiwa na watawala wetu....., na umetukolea kweli!
ni mult sources mkuu lakini unaweza google moja baada ya jingine
Nadhani wewe upo nyuma ya wakati sana! Na safari hii ya 2015 mtakoma mliozoea kura rushwa. Ni mabadiliko tu, kama siyo CDM ni CUF, wajinga nyie! Na mtafungwa wote na kufilisiwa!Unauhakika na hayo unayoyasema au unadanganya watu ukijua watu hawafuatilii mishahara ya nchi nyingine hakuna nchi katika africa inayotoa viwango hivyo ulivyovitaja mkuu mbona unachangia kuwauwa watanzania wapigakura masikini. Acha hayo kwa africa nchi inayoongoza kwa madaktari kupata mshahara wa juu ni africa ya kusini na kwa daktari anayeanza anapokesa kiasi cha fedha sawa na 1.8 million za kitanzania
lakini lazima utambue kuwa haikuwa haraka hivyo kama hawa madaktari wanasiasa wanavyotaka iwe haraka hivyo hayo mambo yanawezekana ila taratibu mkuu tusipende kushabikia mambo ambayo yanatesa watanzania wenzetu