Mishahara serikalini!!

Take home ya Mwalimu mwenye degree ni sh. 371,500, ukiweka makato ya HESLB mwalimu anarudi home na sh. 324,500 nyumbani. hii ni sawa na malipo ya siku moja ya kikao kimoja cha mbunge!
 
bila kujali kama figure ni sahihim au sio,la msingi walimu wanabezwa mnomna wengi hawajitambui.cjui tatizo letu walimu nini?
mgomo ukitangazwa tu mi nagoma wiki nzima hata wakiahirisha nitaongeza kidogo kwa maslai yangu binafsi
 
Take home ya Mwalimu mwenye degree ni sh. 371,500, ukiweka makato ya HESLB mwalimu anarudi home na sh. 324,500 nyumbani. hii ni sawa na malipo ya siku moja ya kikao kimoja cha mbunge!

nO WONDER MY FIANCE IS REGRETING BEING A TEACHER WHILE I WISH NINGESOMEAGA HATA TEACHING NAMIMI NINGEKUWA NAPATA TAKE HOME LAK 3 NA 20.
 
Waalimu wanadharaulika sana. Bar maid makini anapata zaidi ya elfu kumi kwa siku. Bora ya baa maid kuliko ualimu. Sasa msilale chukueni hatua.
 
Kama wewe ni great thinker tuletee huo waraka wa 2007 sio kutoa povu tu hapa

Dah! kama kweli huwezi hata kutafuta kitu ambacho ni cha public interest na ni haki na wajibu wako kukijua na kukifahamu POLE sina access ya hilo kwa sasa...
 
ni kweli watanzania tuu ndio hawaoni umuhìmu wa mwalimu ila kenya wanajua chanzo cha maendeleo ni mwalimu wao kima cha chini cheti ni sh. Laki 8 za ki tzed
 
Hizi takwimu si sahihi. Pia ni muhimu uonyeshe kianzio cha mshahara ndipo tunaweza kulinganisha vizuri.
 
nimeikuta hii kwenye post ya jamaa yangu fb! wanajamvi nisaidieni nini sababu ya hizi tofauti?
Tofauti ya mishahara miongoni mwa wafanyakazi wa umma wenye kiwango kimoja cha elimu?
CHETI
mwalimu 244,400
afya 472,000
kilimo/mifugo 959,400
... sheria 630,000

DIPLOMA
mwalimu 325,700
afya 682,000
kilimo/mifugo 1,133,600
sheria 871,500

DEGREE
mwalimu 469,200
afya 802,200
kilimo na mifugo 1,354,000

Utagundua kwamba aliyesema 'balaa kubwa si kifo bali ni maisha yasiyo na matarjio' yuko sahihi! Walimu hatuna matarajio! change what you see by changing how you see.! Hizi ni dharau tena naweza kuita ni 'ACADEMIC ABUSE'. Tushikamane walimu kuondoa matusi haya

mtu mwenye diploma ya sheria analipwa laki 8 labda sio serikali ya Tanzania maana kutokana na circular ya mishahara state attorney ambae ana bachelor hazidi laki 5 gross salary ya kuanzia sasa sijui data zako wewe umetoa wapi?
 
nimeikuta hii kwenye post ya jamaa yangu fb! wanajamvi nisaidieni nini sababu ya hizi tofauti?
Tofauti ya mishahara miongoni mwa wafanyakazi wa umma wenye kiwango kimoja cha elimu?
CHETI
mwalimu 244,400
afya 472,000
kilimo/mifugo 959,400
... sheria 630,000

DIPLOMA
mwalimu 325,700
afya 682,000
kilimo/mifugo 1,133,600
sheria 871,500

DEGREE
mwalimu 469,200
afya 802,200
kilimo na mifugo 1,354,000

Utagundua kwamba aliyesema 'balaa kubwa si kifo bali ni maisha yasiyo na matarjio' yuko sahihi! Walimu hatuna matarajio! change what you see by changing how you see.! Hizi ni dharau tena naweza kuita ni 'ACADEMIC ABUSE'. Tushikamane walimu kuondoa matusi haya
Walimu msilalamike coz kwenye kufaulu walimu ndio failures,div 3 na 4 ndo huchukuliwa ualimu,so u cant be equal na liyepiga msuli akascore div 1 au 2 akaenda kusoma udaktari au sheria,haki yenu ya mishahara mizuri iko subject na matokeo yenu ya shule,Uganda mfumo wao ni kwamba walimu wako well paid coz wanaoenda kusomea ualimu ni wale walioscore highly kuliko wengine.WAKE UP YOU!!!!
 
nimeikuta hii kwenye post ya jamaa yangu fb! wanajamvi nisaidieni nini sababu ya hizi tofauti?
Tofauti ya mishahara miongoni mwa wafanyakazi wa umma wenye kiwango kimoja cha elimu?
CHETI
mwalimu 244,400
afya 472,000
kilimo/mifugo 959,400
... sheria 630,000

DIPLOMA
mwalimu 325,700
afya 682,000
kilimo/mifugo 1,133,600
sheria 871,500

DEGREE
mwalimu 469,200
afya 802,200
kilimo na mifugo 1,354,000

Utagundua kwamba aliyesema 'balaa kubwa si kifo bali ni maisha yasiyo na matarjio' yuko sahihi! Walimu hatuna matarajio! change what you see by changing how you see.! Hizi ni dharau tena naweza kuita ni 'ACADEMIC ABUSE'. Tushikamane walimu kuondoa matusi haya
Wenzenu hapa Kenya wamejikomboa kwa solidarity! Nyie zubaeni tu! halafu mtatumika kwenye chaguzi zote kama manamba!
 
Hizi takwimu si sahihi. Pia ni muhimu uonyeshe kianzio cha mshahara ndipo tunaweza kulinganisha vizuri.

kasome walaka wa utumishi wa 2012/13 then ndio uje utuambie cheti kilimo ni sh ngapi unganisha na diploma ,degree alafu compare na walimu. Wanachofanya serikali kila idara wanawapa waraka wao lengo ni kuficha utofauti usijulikane
 
ni balaa kumtuhumu mtu kuwa kaleta takwimu feki bila wewe kuleta zilizo sahihi! watu wa hivyo huitwa WANAFIKI.Kisomi ukiona kuna takwimu fyongo unaleta zilizo sahihi na JF tutakupigia like!
 
Mimi ni mwalimu nilifaulu vizuri tu nimegraduate lakini watu tuliosoma chuo kimoja lakini facult tofauti tofauti ya mshahara iko kubwa inanisikitisha sana.
 
nimeikuta hii kwenye post ya jamaa yangu fb! wanajamvi nisaidieni nini sababu ya hizi tofauti?
Tofauti ya mishahara miongoni mwa wafanyakazi wa umma wenye kiwango kimoja cha elimu?
CHETI
mwalimu 244,400
afya 472,000
kilimo/mifugo 959,400
... sheria 630,000

DIPLOMA
mwalimu 325,700
afya 682,000
kilimo/mifugo 1,133,600
sheria 871,500

DEGREE
mwalimu 469,200
afya 802,200
kilimo na mifugo 1,354,000

Utagundua kwamba aliyesema 'balaa kubwa si kifo bali ni maisha yasiyo na matarjio' yuko sahihi! Walimu hatuna matarajio! change what you see by changing how you see.! Hizi ni dharau tena naweza kuita ni 'ACADEMIC ABUSE'. Tushikamane walimu kuondoa matusi haya
Upuuzi huu katafute kwa kuuweka!Mhandisi Kilimo Mishahara Degree ni 499,000/= Diploma 255,000/= hizo figure za kubumba umezitoa wapi!Si watu wote wangeenda kusomea kilimo!Afya sijui lakini hiyo uliyotuwekea ni sumu!
 
Uongo mkubwa afya cheti 327000 doploma 537000 acha kudanganya watu bwana fanya utafti kabla ya kuleta humu!
 
Back
Top Bottom