Uongo mkubwa afya cheti 327000 doploma 537000 acha kudanganya watu bwana fanya utafti kabla ya kuleta humu!
Jambo hili unalolizungumzia haliko sahihi sana mimi nina marafiki zangu zaidi ya watano ambao tulimaliza wote Kidato cha Nne mwaka 1991 na walipata wote Divisio II tena kuanzia pointi 18 lakini walipelekwa kusomea Ualimu,si sawasawa kusema walimu ni "failures" ni matusi kwao! Ni mfumo tu mbaya wa mipangilio ya Mishahara unaowafanya Waalimu waonekane kama wamedharauliwa,ingawa athali zao Waalimu tunaziona kila siku pale watoto wetu wanaposhindwa kujieleza ama kujiamini hata pale unapowauliza swali dogo tu!Walimu msilalamike coz kwenye kufaulu walimu ndio failures,div 3 na 4 ndo huchukuliwa ualimu,so u cant be equal na liyepiga msuli akascore div 1 au 2 akaenda kusoma udaktari au sheria,haki yenu ya mishahara mizuri iko subject na matokeo yenu ya shule,Uganda mfumo wao ni kwamba walimu wako well paid coz wanaoenda kusomea ualimu ni wale walioscore highly kuliko wengine.WAKE UP YOU!!!!
acha kudanganya umma...katafute takwimu sahihi hazina au utumishi.
acha kudanganya umma...katafute takwimu sahihi hazina au utumishi.
Weka hizo takwimu zako unazohisi ni sahihi tuzione.
Zinaweza kutokuwa figure sahihi, lamsingi ni kuwa utofauti wa mishahara ktk sekta mbalimbali kwa viwango sawa vya elimu upo! Na chanzo chake ni selikali dhaifu, isiyo kusanya kodi, inayofisadi hata kale kadogo kalikokusanywa, inayogawa rasilimali ktk jina ka uwekezaji huku ikisamehe kodi kwenye vitendea kazi vyao, yenye matumizi ya anasa, yenye makao makuu sehemu mbili tofauti,....nadhani nimejibu sehemu ya swali lako.
wewe huamini? huo ndio ukweli wenyewe! dawa ni kutafuta greener pastures.
nimeikuta hii kwenye post ya jamaa yangu fb! wanajamvi nisaidieni nini sababu ya hizi tofauti?
Tofauti ya mishahara miongoni mwa wafanyakazi wa umma wenye kiwango kimoja cha elimu?
CHETI
mwalimu 244,400
afya 472,000
kilimo/mifugo 959,400
... sheria 630,000
DIPLOMA
mwalimu 325,700
afya 682,000
kilimo/mifugo 1,133,600
sheria 871,500
DEGREE
mwalimu 469,200
afya 802,200
kilimo na mifugo 1,354,000
Utagundua kwamba aliyesema 'balaa kubwa si kifo bali ni maisha yasiyo na matarjio' yuko sahihi! Walimu hatuna matarajio! change what you see by changing how you see.! Hizi ni dharau tena naweza kuita ni 'ACADEMIC ABUSE'. Tushikamane walimu kuondoa matusi haya
Sasa hao wanaoscore highly hapa tanzania si wanafundishwa na hao wa div. 4. Acha kashifa kuna vigezo vya kujiunga na vyuo husika sidhan kama wanajichagua vizuri ni wajibu wa Serikali kuweka vigezo stahiki kujiunga na vyuo mbalimbali. Hata kama mtu kapata div. 0 bado anatakiwa kupata haki yake ya msingi kutoka serikalini aandaliwe mazingira mazuri ya kukabili maisha. Ndugu yangu mishahara ya watu waliopata hzo wani wakiwa BOT au TRA mishahara ni tofauti na waliojikaza wakapata wani na kujikita katika fani za ELIMU NA AFYA hapo ndipo shida ilipo kwamba mgawanyo wa keki ya taifa hainufaishi wananchi kwa usawa hubagua na hapo ndipo shida ilipo.Walimu msilalamike coz kwenye kufaulu walimu ndio failures,div 3 na 4 ndo huchukuliwa ualimu,so u cant be equal na liyepiga msuli akascore div 1 au 2 akaenda kusoma udaktari au sheria,haki yenu ya mishahara mizuri iko subject na matokeo yenu ya shule,Uganda mfumo wao ni kwamba walimu wako well paid coz wanaoenda kusomea ualimu ni wale walioscore highly kuliko wengine.WAKE UP YOU!!!!By dionis nyorobi

nimeikuta hii kwenye post ya jamaa yangu fb! wanajamvi nisaidieni nini sababu ya hizi tofauti?

Tofauti ya mishahara miongoni mwa wafanyakazi wa umma wenye kiwango kimoja cha elimu?

CHETI

mwalimu 244,400

afya 472,000

kilimo/mifugo 959,400

... sheria 630,000

DIPLOMA

mwalimu 325,700

afya 682,000

kilimo/mifugo 1,133,600

sheria 871,500

DEGREE

mwalimu 469,200

afya 802,200

kilimo na mifugo 1,354,000

Utagundua kwamba aliyesema 'balaa kubwa si kifo bali ni maisha yasiyo na matarjio' yuko sahihi! Walimu hatuna matarajio! change what you see by changing how you see.! Hizi ni dharau tena naweza kuita ni 'ACADEMIC ABUSE'. Tushikamane walimu kuondoa matusi haya
Inaonesha una matatizo ya akili wewe,wewe unachokipata kwa sasa hata huu utumbo unaoandika bila mwalimu ungeweza wewe?
Kiukwel namna walim wanavyopatkana, halafu kwa jinsi walvyokuwa weng cdhan kama mshahara unaweza kupanda zaid ya hapo hzo kada nyngne wanazalipwa vzr bse wako wachache sasa ukchukua ratio ya mishara ya category nyng haiwez kuendana na ualmu
Mshahara Afya cheti ni TGSH A1 diploma TGSHB1 sasa kaangalie hiyo mishahara kama inalingana na pesa ulizoandikaData zipo wazi na huo ndio ukweli.yakupasa utambue kwamba hakuna waraka mmoja unao fafanua mishahara ya watumishi wa umma.kila idara na waraka wake.nadhani lengo la serikali ni wagawe uwatawale(devide and rule).
Weka hizo takwimu zako unazohisi ni sahihi tuzione.