nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
io ukweli mimi I mtumishi wa Serikali nimeipwa mshahara tangu tarehe 2/2/2013kama ni muugwana taja Taasii, Halmashauri ama wizara ambayohaijalia watuihi wak mpak eo au wewe mshahara wako wote umekatwa kwenye mikopo
labda taasisi maalum kama kuzibua vyoo.
Divide and rule at work...unadhani kila mtu yuko tayari kukwambia anafanya kazi wapi? Kaulize azina kama wamelipa mishahara watumishi wote
Jamani hii serikali imefilisika kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wa umma?
Leo tarehe 30/12/2013 hakuna mishahara!
Nini kinaendekea katika hili?
zote nzuri ila ukiwa crdb bank inachelewa kwasababu lazima ipite nmb kwanza! ila kuwa nmb kwa ajili ya hundi au TISS
NMB bank
Siku hizi ni CRDB ndio mishahara inakoanzia kusambazwa.Hata hivyo CRDB hawana urasimu wa kuchelewesha mishahara ya watu kama ilivyokuwa kwa NMB.
io ukweli mimi I
mtumishi wa Serikali nimeipwa mshahara tangu tarehe 2/2/2013kama ni
muugwana taja Taasii, Halmashauri ama wizara ambayohaijalia watuihi wak
mpak eo au wewe mshahara wako wote umekatwa kwenye mikopo
Hebu nijulishe, hivi hiyo benki ya makabwela ndiyo ipi vile?Ni benki ya makabwela
Huu ndio ukweli. Taasisi nyingi za umma bado hakijaeleweka.
Jana tu nilimuuliza mhasibu mkuu wa taasis yetuni lini mshahara utatoka. Akanijibu kwa utani kwamba nifanye maombi ili mambo yawe mazuri.
Krismasi njaa, mwaka mpya njaa. Mbona serikali hii majanga!
Naanza kazi february serikalini so Hr wa hio taasisi kaniambia nifungue nmb ndo inawahi lakini kuna watu wa serikali wameniambia sasa hivi crdb ndo poa coz ndo wamechukua tenda ya mishahara. So am very confused.
Inategemea upo mkoa ganiSorry wadau nna swali. Eti ni benki gani nzuri kutumia kwa ajili ya kuchukulia mshahara ambapo pesa inawahi kuingia kwa watumishi wa umma kati ya NmB na Crdb ?
Mshahara wa mwezi wa ngapi unaulizia?mbona wa mwezi wa 12 ulishatoka kitambo!
Inategemea upo mkoa gani
Nitakua Arusha.