Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
- Thread starter
- #41
Acheni kulalamika hapa kama madiaspora, nyie ndie mliichagua hii serikali na kutuambia Mkulu ni Tumaini jipya kwa Watanzania. Inabidi mkae miezi 6 ndio akili itakaa sawa
mkuu si wote tulioichagua hii serikali ya blah blah, wengine tulipambana sana kuelimisha umma bega kwa bega na wanaharakati kuhakikisha maccm yanapigwa chini 2010