Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Inategemea ameajiriwa wapi. Kama ni mwalimu wa msingi ama sekondari anaanza na TGTS D1, kama ameajiriwa vyuo vya ualimu anaanza na TGTS E1.Ila kama ameajiriwa taasisi za Elimu ya juu kuna ngazi zake za mishahara mbali na TGTS
NB:Hakuna cheo cha muundo kwa postgraduate kama ni mwl wa msingi, sekondari na vyuo vya ualimu zaidi ya kuboresha CV tu kwa vyeo vya madaraka.

Mwalimu wa primary yupi alianza na D1 acha uongo. Na B1 na C1 anapokea nani?
 
Walimu Wa Ikungi,Busega dc,na wengine kimeeleweka??
 
Waambie Me Napendelea Pkpk Aina Ya Boxer Nitawapa Kura
 
Wale tuliopata barua za kupanda daraja mwezi huu mshahara wake mpya tutauona baada ya muda gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom