We jamaa tatizo lako umepanic soma vizuri alicho andika mwenzio alafu fananisha hizo data kama zipo sawa wa bongo bwana kila kitu mtu anataka awe against
na je postgraduate naye anaanza na ngapi WA ndugu?
Ukweli ni upi kuhusu salary...?wife asije nipiga changa la macho kwamba hawajaongezewa.
kama ndivyo jamaa hayuko mbali na ukwelimshahara unaongezwa 13% kwa ahadi za shemeji yetu.huyo jamaa kaongeza chumvi kidogo