Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Mwalimu wa primary yupi alianza na D1 acha uongo. Na B1 na C1 anapokea nani?

Kama hujui miundo ya utumishi wa walimu ni bora ukakaa kimya. Kuna walimu kibao wa primary wana first degree hadi wenye masters wapo.
 
Kama wewe ni mwalimu uliyeajiriwa mshahara wako upo kwenye barua yako ya ajira.
 
kweli mkuu Shuhudia Lihemla mishahara tayari kama ilivyoongezeka.Shemeji kawaacha vizuri walimu lakini wataidhibu ccm kwa kutolipa malimbikizo ya stahi zao
 
jamani mauwe mnatumia hata cam scanner kuweka hizo attachment sasa mtu unapiga lipicha tu halafu linatoka vibaya da.
 
Mwalimu wa primary yupi alianza na D1 acha uongo. Na B1 na C1 anapokea nani?

Primary sio wakubeza.mwalimu ni mwalimu haijalishi yupo primary au sekondary.kinachoangaliwa ni kiwango cha elimu,pia muda wa utumishi.tambua wapo walimu wa shule za msingi wenye masters na wengine tgts zao ni zaidi ya tgts F.
 
kweli waalim waendelee kujaaliwa namna hiyo elim tz itakuwa bora maana watajitoa kwa moyo wote



waaaalimu wakipewa mazingila mazuri elim itakuwa bora hogera rais kikwete kwa hili
waalimu sasa tunatalajia watoe elimu bora
 
Walimu tuna hali ngumu,tatizo wengi hatujitambui na tumefundishwa kuwa waoga
 
Sijabahatika kuonana na tang'ana,,ila kuna baadhi ya Jf members wachache wenye maneno kama ya tang'ana nilichoka baada ya kuona ni ndorobo tu,mimi ni mwalimu nipo UDSM kuna watu nimebahatika kufanya nao biashara nimeshangaa kuona ni wale wa kukimbizana kwenye daladala, tang'ana unalipwa wapi posho
Tsh419,000
Tsh530,000
Tsh716,000
Tsh940,000
Tsh1,235,000
Acha kuturusha roho hapa wakati wewe ndorobo tu,,kama unabisha njoo UDSM tuonane
 
Last edited by a moderator:
Ivi kwa walimu walioajiriwa mwezi wa tano Loan Board wanaanza kukata lini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom