Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

mkubwa income tax hukatwa kwa % hvyo lazma vwango vtofautiane grade had grade. na % income tax n moja kwa grade zote. but that the reality try to take reseach. we are learning!!

Sio kweli, kuna watu wanakatwa mpaka 25% km PAYE!! unadhani mwenye TGS J anakatwa 11% kama mwenye TGS D??
 
kwa misharaha ni kweli, lakini hayo makato nina mashaka nayo hata mimi.
Wewe unadanganya! Haijapata kutokea na haitatokea asilimia ya makato ya mishahara kwa grade C1, D1, E1 pamoja F1 kufanana. % ya makato yatakayofanana hapa kwa grade zote ni tu kwa makato ya cwt ambayo ni % 02, Pensheni ambayo ni % 05, pamoja na hiyo unayoita ni Insurance ambayo ni % 03. Makato haya yatafanana kwa level zote yaani B hadi H. Lakini makato ya Income Tax ni lazima yatofautiane kipasenteji. Na unvyozidi kupotosha B1 cwt amekatwa zaidi ya % 02. Mkuu ungeacha kupotosha watu, nafikiri usingepungukiwa na chochote. Kikubwa unatafuta umaarufu tu.
 
mkubwa income tax hukatwa kwa % hvyo lazma vwango vtofautiane grade had grade. na % income tax n moja kwa grade zote. but that the reality try to take reseach. we are learning!!

Sipo tayari kujibizana na wewe! Sio kweli, wajifanya wajuwa kumbe waungua jua. Nikweli PAYE imepungua kwa 11% ndio.Ila mwenye kupata Tsh. 1,235,000/ daraja F1 kama ulivyoandika hapo haiwezekani akatwe 11%
 
Jamani mtusaidie namba zozote zinazo husika na hazina wizara ya fedha tuweze kuliza mishara mbona ss huku Buhigwe Kigoma hatujaingiziwa mishahara ajira mpya!
 
Wewe unadanganya!

Haijapata kutokea na haitatokea asilimia ya makato ya mishahara kwa grade C1, D1, E1 pamoja F1 kufanana. % ya makato yatakayofanana hapa kwa grade zote ni tu kwa makato ya cwt ambayo ni % 02, Pensheni ambayo ni % 05, pamoja na hiyo unayoita ni Insurance ambayo ni % 03.

Makato haya yatafanana kwa level zote yaani B hadi H. Lakini makato ya Income Tax ni lazima yatofautiane kipasenteji. Na unvyozidi kupotosha B1 cwt amekatwa zaidi ya % 02.

Mkuu ungeacha kupotosha watu, nafikiri usingepungukiwa na chochote.

We jamaa tatizo lako umepanic soma vizuri alicho andika mwenzio alafu fananisha hizo data kama zipo sawa wa bongo bwana kila kitu mtu anataka awe against
 
Mapara Mishahara Muone Mkurugenzi Wako.Hazina Hawatakusaidia
 
Jamani mtusaidie namba zozote zinazo husika na hazina wizara ya fedha tuweze kuliza mishara mbona ss huku Buhigwe Kigoma hatujaingiziwa mishahara ajira mpya!

Kaka sio nyie tu hata Ikungi singida hatujapata Mishahara yapata miezi mi 3 sasa yaani tangu tiajiriwe na tuliwahi kuripoti na kukamilisha taratibu zoote Nadhani halmashauri zetu ni dhaifu,,na znanuka wizi!!Wanabana.hela wakizuga hazina hawajatuingiza kwenye system daah Hii kazi nmetokea kuichukia saana tu!!Sitaifanya kwa Moyo tena kama.nlivopanga maana wamenivuruga saikolojia mapema saana!!!Wakurugenzi na.maafisa utumishi ndioo Weezii wa Kutupa!!!
 
Mkurugezi wa wilaya hii anasema hana uwezo wa kutusaidia ss sijui twende kwa afisa elimu mkoa maana maisha yamezidi kuwa magumu!
 
Mkurugezi wa wilaya hii anasema hana uwezo wa kutusaidia ss sijui twende kwa afisa elimu mkoa maana maisha yamezidi kuwa magumu!

Aisee daah Hali ni.mbaya kwa kweli hadi Najuta kupangwa kulee tn hata sikupachagua ningekua.....sehwm.nyingine daah saivi ningekua nakula tu mpunga na ninheshaanza ata vi.mradi vyangu taratibu...
 
Tunge pata namba ya hazina tungeuliza kama mishahara ilishaingizwa harafu tulundikana kwa hawa wakurugenzi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom