Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

I thank sinaga hizo deduction za cwt na waendelee hivo hivo

Utakua ulianza kazi miaka 3 iliyopita, nasikia hao ndio hawalipii cwt,cwt inawafaidishaje walimu? Au wanapata gawio la pango kwenye ofice yao pale ilala, au oluochi ndie anafaidi..
 
Aagh mi sina ham na.ualimu yaani tangu tuajiriwe hadi leo hii almost miezi mi3 inapita hatujalipwa haata senti!!Yaani ualimu ni kazi inayodharaulika saana tukifatilia halmashauri tunaambiwa eti endeleeni kusubiri yaani watu karibu wooote wameshalipwa hela zao.kasoro sisi tu li halmashauri moja la Kipumbafuu saanaa linaitwa IKUNGI SINGIDA
 
Pole sana mwalimu, huenda hawajajipanga vizuri make hiyo wilaya imeanzishwa muda si mrefu
 
Mwalimu Hata Busega Dc Na Wilaya Za Tanga Hawajalipwa.Usikate Tamaa Utapata Haki Yako
 
Uzuri wa ualimu uwe na shughuli nyingine inayokuingizia kipato,maana muda wa kusimamia shughuli zako upo.Ila kama ni ualimu tu,hiyo kitu ni chungu maana hamna hata mia ya posho
 
Wewe unadanganya! Haijapata kutokea na haitatokea asilimia ya makato ya mishahara kwa grade C1, D1, E1 pamoja F1 kufanana. % ya makato yatakayofanana hapa kwa grade zote ni tu kwa makato ya cwt ambayo ni % 02, Pensheni ambayo ni % 05, pamoja na hiyo unayoita ni Insurance ambayo ni % 03. Makato haya yatafanana kwa level zote yaani B hadi H. Lakini makato ya Income Tax ni lazima yatofautiane kipasenteji. Na unvyozidi kupotosha B1 cwt amekatwa zaidi ya % 02. Mkuu ungeacha kupotosha watu, nafikiri usingepungukiwa na chochote. Kikubwa unatafuta umaarufu tu.

tatzo lako kwani ww n nn!! ongezeko la mishahara au makato? maelezo yako n tosha kua ww ndo unatafuta umaarufu maana hata wajumbe wengine humu wameweka na attachment but ww unaita wanatafuta umaarufu au unataka mungu ndo akupe news. b e/cd n ur mnd. waache wajumbe watupe taarfa cc tutazjaj. na umaaruf hauj kwa kua ant!! na mwisho wa mwez uje uongee ivo il ijulkane nan alitaka umaaruf!!
 
Ukweli ni upi kuhusu salary...?wife asije nipiga changa la macho kwamba hawajaongezewa.
 
tatzo lako kwani ww n nn!! ongezeko la mishahara au makato? maelezo yako n tosha kua ww ndo unatafuta umaarufu maana hata wajumbe wengine humu wameweka na attachment but ww unaita wanatafuta umaarufu au unataka mungu ndo akupe news. b e/cd n ur mnd. waache wajumbe watupe taarfa cc tutazjaj. na umaaruf hauj kwa kua ant!! na mwisho wa mwez uje uongee ivo il ijulkane nan alitaka umaaruf!!

mimi sina tatizo na ongezeko ktk 'basic salary' Tatizo ni hapo ulipojitia wewe ufundi wa kukokotoa makato ya PAYE bila ya kufuata kanuni. Umekariri, eti una-deduct asilimia 11 kuanzia B1 hadi F1 kwa kiwango kimoja. Nikwambie tu mkuu, kiwango cha makato kwa INCOME TAX hutofautiana kutoka grade moja na nyengine.
 
mkubwa income tax hukatwa kwa % hvyo lazma vwango vtofautiane grade had grade. na % income tax n moja kwa grade zote. but that the reality try to take reseach. we are learning!!
 
Mwalimu wa degree ana anza na daraja gani la mshahara?
 
mimi sina tatizo na ongezeko ktk 'basic salary' Tatizo ni hapo ulipojitia wewe ufundi wa kukokotoa makato ya PAYE bila ya kufuata kanuni. Umekariri, eti una-deduct asilimia 11 kuanzia B1 hadi F1 kwa kiwango kimoja. Nikwambie tu mkuu, kiwango cha makato kwa INCOME TAX hutofautiana kutoka grade moja na nyengine.

Upo sahihi, kuna watu tunakatwa PAYE hadi 20%,yeye anadhani wote wanakatwa 11% kitu ambacho co kweli!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom