Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
Sure mkuuu.. na mimi kuna afisa utumishi mmoja nilikutana nae nikamuuliza alicheka sana.ila akasema ni ndogo tu ndo imeongezwa bila kusema ni Kiasi gani...Nmemcheki Afisa utumishi mmoja wa halmashauri fulani kanda ya ziwa kanitonya kuna ka ongezeko 'kidogo' japo anakua mgumu sana kudadavua kiundani (scales)...sijui kwa nini
Natabiri Ongezeko la elfu 10, 6, 100, ... range hizo za kipuuzi! Unamsoma mtu anayetoa nyongeza na uhusiano wake na wafanyakazi. Is he friendly? NO, a big NO!Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma.
Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha za malipo ya Mishahara mipya kuanzia November hii kama Mkulu alivoahidi!Je kuna ongezeko?Na kama lipo Ningependa kufahamu scales zake zimekaaje kuanzia Madaraja ya chini mpaka juu.
Ahsanteni,nawasilisha!!
Daah hehe ngoja tuone...nataa nimcheki huyu afisa utumishi baada ya muda majukumu yake,labda atakua katulia anipasulie sasa A-Z[emoji124]Sure mkuuu.. na mimi kuna afisa utumishi mmoja nilikutana nae nikamuuliza alicheka sana.ila akasema ni ndogo tu ndo imeongezwa bila kusema ni Kiasi gani...
Tujiandae kisaikolojia..
Na ndiyo hiyo nyongeza, imeahi kutokea kwa Mkapa range kama hiyo and Mkapa was not friendly na wafanyakazi, quite hostile!6,220.35/-
kwa maneno-shilingi elfu sita miambili ishirini na senti thelathini na tano.
hahaha natania nisije pigwa mawe hapa.
Kabisa jamaa!!njemba is not friendly kabisa kwa watumishi daah!!Natabiri Ongezeko la elfu 10, 6, 100, ... range hizo za kipuuzi! Unamsoma mtu anayetoa nyongeza na uhusiano wake na wafanyakazi. Is he friendly? NO, a big NO!
Wanakatazwa sanaNmemcheki Afisa utumishi mmoja wa halmashauri fulani kanda ya ziwa kanitonya kuna ka ongezeko 'kidogo' japo anakua mgumu sana kudadavua kiundani (scales)...sijui kwa nini
No flat rateNasikia imeongezwa elf 90
Kupambana na hali ndio pamoja na nyongeza mkuu....!pambaneni na hali zenu. mia tisa inawatosha sana.