mkuu elewa kuwa hunitukani mimi bali unatukana wafanyakazi wote tanzania ambao ndio wenye kilio kikali kwa hayo niliyoyaeleza!
-wamekula kiapo dhidi ya serikali ya c.c.m kwa kuinyima kura kwani wanasema imeishia kuwa danganya kwa zaidi ya miaka 50 juu ya maisha bora.
chadema mngeongeza mshahara sh. ngapi?