Mau Mau
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 691
- 504
Mi naona ni dharau kubwa kwa wafanyakazi hasa wa kada ya elimu na kilimo ambako hakn m/kaz aliyeongezwa zaid ya 36,000/- kidogo polisi angalau mana wake wa degree wameonezwa si chini ya 68,000/ na posho yao imepanda kwa 30,000/ juu cjui kwasbb hawa ndo wabeba kura za magendo?? Wafanyakaz mjitafakari upya na hilo zombi ccm vinginevo mtalia xn.