Mishahara juu

Mishahara juu

mwalilawola

Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
18
Reaction score
6
Jk alinena na waziri wa utumishi naye akanena kuwa wameongeza mishahara kwa 41% hii ina maana kuwa kwa mtu wa degree aliyekuwa anapata basic salary 589000 sasa itakuwa 830490 kidumu chama cha mapinduzi

Hakika inakera na inaudhi sana tuu,yaani tangu wapate mishahara yao ya mwezi huu julai wamekuwa wakilalamika sana juu ya utapeli waliofanyiwa,na haya ndiyo wanayoyasema nanukuu:-

-"kodi ya nyumba imepanda,umeme bei juu,nauli ya kwendea kazi imepanda,mkaa gunia moja tsh:30000,watoto wanataka ada shuleni,vyakula bei juu,madeni nadaiwa kila kiduka kilichopo mtaani kwetu,saccos nako nadaiwa na bado hisa sijapeleka,dharula ndogondogo kama ugonjwa na wageni hizo hazielezeki.

Mshahara hautoshi nyongeza yenyewe kiduchu,aaah! Sijui nani atanisaidia maana kama ni kudanganywa ilikuwa mei mosi mkuu alipo tuonyesha usanii wake kwakutudanganya hadharani,tucta nao wanatumika.

Sasa najiuliza nimlilie nani maana kufa sifi,maisha magumu,hii serikali hii ya CCM ngoja tutakuna 2015".

-Hayo ndiyo malalamiko yao na siyo yangu mimi willafrica.

Hivyo naomba kuwasilisha jamvini.

hiyo asilimia ni ya ujumla sio individual ndugu... yaani kwa mwaka huu wa fedha mishahara itapanda kwa asilimia hiyo kitakwimu
 
Acha uchochezi. We ulikuwako kwenye vikao hivyo? Habari za kupika.
 
Jk alinena na waziri wa utumishi naye akanena kuwa wameongeza mishahara kwa 41% hii ina maana kuwa kwa mtu wa degree aliyekuwa anapata basic salary 589000 sasa itakuwa 830490 kidumu chama cha mapinduzi

well done mr president this will make life some how better,
 
kama mshahara utaongezeka halafu makato na bei ya bidhaa vikaongezeka kufuata mshahara kuna maana???kinacholalamikiwa kimsingi ni gap kati ya walionacho na wasionacho na makato huwa ni maumivu makubwa kwa wasionacho kwa 7bu ndio wanaolipa kodi tena kubwa ukilinganisha na hao walionacho..hapo ndio hoja ilipo
 
41%...mmmh yetu macho na vitu vitapanda bei kwa % hiyo hiyo au zaidi.
 
Jk alinena na waziri wa utumishi naye akanena kuwa wameongeza mishahara kwa 41% hii ina maana kuwa kwa mtu wa degree aliyekuwa anapata basic salary 589000 sasa itakuwa 830490 kidumu chama cha mapinduzi

Ha ha ha haaaaaa!! Kiongozi embu fuatilia vizuri hotuba nahisi umeielewa kinyume
 
Hilo haliwez tokea %41.?,kariri maneno yangu ndugu hapo umeliwa.
 
Wameongeza % kidogo sana angalau ingekuwa 75% maana madai ya CWT ni ongezeko la mishahara kwa 100%.
Any way, the information is not official it cant be trusted.
 
Acha kuota wewe kada wa MAGAMBA! Hilo ni ongezeko la ujumla, ni mwendo wa niongeza ya Tsh 15,000/= tu kama kawaida. Kama unabisaha subiri tar 1 mwezi wa saba ujionee mwenyewe.

Hiyo laki 589000?= Hardly itafika 610,000/= chezea magamba wewe? Uongezewe 41% kwani wewe mbunge?
 
No itakuwa 639,000
 
Jk alinena na waziri wa utumishi naye akanena kuwa wameongeza mishahara kwa 41% hii ina maana kuwa kwa mtu wa degree aliyekuwa anapata basic salary 589000 sasa itakuwa 830490 kidumu chama cha mapinduzi

Dalili Za Dengue Hz Ponda Ponda Majani Ya Mpapai Na Unywe Supu Yake Kutwa Mara Tatu.
 
kama mshahara utaongezeka halafu makato na bei ya bidhaa vikaongezeka kufuata mshahara kuna maana???kinacholalamikiwa kimsingi ni gap kati ya walionacho na wasionacho na makato huwa ni maumivu makubwa kwa wasionacho kwa 7bu ndio wanaolipa kodi tena kubwa ukilinganisha na hao walionacho..hapo ndio hoja ilipo

Pointi Kubwa Hy
 
Acha kuota wewe kada wa MAGAMBA! Hilo ni ongezeko la ujumla, ni mwendo wa niongeza ya Tsh 15,000/= tu kama kawaida. Kama unabisaha subiri tar 1 mwezi wa saba ujionee mwenyewe.

Hiyo laki 589000?= Hardly itafika 610,000/= chezea magamba wewe? Uongezewe 41% kwani wewe mbunge?

kweli mkuu. Asubiri julai
 
Naomba kujua sababu ya serikali kupata kigugumizi ya kuweka wazi nyongeza asilimia ya mishahara mipya 2014? au ndo kiini macho kwa wafanyakazi kuongezewa 2500?
 
naomba kujua sababu ya serikali kupata kigugumizi ya kuweka wazi nyongeza asilimia ya mishahara mipya 2014? au ndo kiini macho kwa wafanyakazi kuongezewa 2500?

Namuona hapa waziri wa Fedha anamjibu Mbatia kuwa wamepunguza kodi 1% na wameongeza mshahara kwa 10.4%
 
Back
Top Bottom