Mishahara company za ulinzi

Mishahara company za ulinzi

Planeti

Member
Joined
Jun 4, 2020
Posts
86
Reaction score
93
Habari za kutwa wakuu..

Nmesikia sehem company flan ya ulinzi wanatafuta wafanyakazi..

Mishahara yao ikoje kulingana na mtu mwenye ' Kaelimu ' kidogo..
Na jeh wanazingatia CV ya applicant ktk ajira ama wote mnaanza na lindo..

Karibuni..

Nafatilia kufahamu jina halisi la company hiyo. Maderever pia wanahitajika
 
Laki, laki na nusu, laki mbili tatu mwisho. Hawazingatii elimu labda kama umeenda jeshi lakini walioenda jeshi wengi hufanyiwa figisu kwasababu wengi wa viongozi wa hizo kampuni hupendelea migambo.
 
Amna vya Cv wala nini ata kesho ukienda ukifika unavalishwa gwanda na buti direct kwenda kulinda mshahara laki amsini ukiwa na tatizo ujaenda kazini bila kuwapa taarifa wanakata elfu kumi unaweza kaa ata miezi mitatu bila mshahara ika awadhurumu mtu pesa utapewa
 
Aaahh.. hawana muda wa kupoteza😂
 
Laki, laki na nusu, laki mbili tatu mwisho. Hawazingatii elimu labda kama umeenda jeshi lakini walioenda jeshi wengi hufanyiwa figisu kwasababu wengi wa viongozi wa hizo kampuni hupendelea migambo.
Kwani kwenda jeshini ndio nini ?

Ni Takataka tu.

Fanyeni Skills Zenye Msaada Kwenu.
 
Habari za kutwa wakuu..

Nmesikia sehem company flan ya ulinzi wanatafuta wafanyakazi..

Mishahara yao ikoje kulingana na mtu mwenye ' Kaelimu ' kidogo..
Na jeh wanazingatia CV ya applicant ktk ajira ama wote mnaanza na lindo..

Karibuni..
Nafatilia kufahamu jina halisi la company hiyo. Maderever pia wanahitajika

Inategemea na kampuni unayoenda fanyia kazi,Kwanza ili uweze mudu vigezo vya kampuni za Ulinzi ni lazima uwe umepitia mafunzo ya Kijeshi,Iwe Mgambo,JKT au,umri usiozidi miaka 45.

Makampuni mengi ya Locals ambayo hayana mitaji mikubwa wala kazi wanazolipwa vizuri yanaanzia shilingi elfu 70 hadi laki moja,yale yanayopata kazi kubwa kubwa ikiwemo kuwa na mitaji mikubwa yanalipa kuanzia laki 1 hadi laki na 60.

Yaliyo international Mfano Kk,Ultimate,SUMA JKT,G4S,na mengine mishahara inaanzia laki 2 mpaka laki 4 na 60.

Ubora wa kampuni ya Ulinzi utaiona kuanzia walivyowekeza,yaan kuwa na mtaji mkubwa

1.) tegemea kuona Sare za Kiwango cha Juu
2.)Bunduki zao huwa ni 12 bore pump Action na sio magobole kama kama ambazo ni weak

3.)kazi walizopewa ni maofisi makubwa makubwa mfano kulinda ofisi za mashirika ya Umma,Taasisi za Fedha n.k
hapo ni kwa kifupi kabisa maana mie ni expert kwenye kada hiyo
 
Hivi kumbe kwenye kada ya kulinda kuna experts mule,mimi sikujua mwenzenu
inategemea na kampuni unayoenda fanyia kazi,Kwanza ili uweze mudu vigezo vya kampuni za Ulinzi ni lazima uwe umepitia mafunzo ya Kijeshi,Iwe Mgambo,JKT au,umri usiozidi miaka 45.
Makampuni mengi ya Locals ambayo hayana mitaji mikubwa wala kazi wanazolipwa vizuri yanaanzia shilingi elfu 70 hadi laki moja,yale yanayopata kazi kubwa kubwa ikiwemo kuwa na mitaji mikubwa yanalipa kuanzia laki 1 hadi laki na 60.
Yaliyo international Mfano Kk,Ultimate,SUMA JKT,G4S,na mengine mishahara inaanzia laki 2 mpaka laki 4 na 60.
Ubora wa kampuni ya Ulinzi utaiona kuanzia walivyowekeza,yaan kuwa na mtaji mkubwa
1.) tegemea kuona Sare za Kiwango cha Juu
2.)Bunduki zao huwa ni 12 bore pump Action na sio magobole kama kama ambazo ni weak
3.)kazi walizopewa ni maofisi makubwa makubwa mfano kulinda ofisi za mashirika ya Umma,Taasisi za Fedha n.k
hapo ni kwa kifupi kabisa maana mie ni expert kwenye kada hiyo
 
Habari za kutwa wakuu..

Nmesikia sehem company flan ya ulinzi wanatafuta wafanyakazi..

Mishahara yao ikoje kulingana na mtu mwenye ' Kaelimu ' kidogo..
Na jeh wanazingatia CV ya applicant ktk ajira ama wote mnaanza na lindo..

Karibuni..
Nafatilia kufahamu jina halisi la company hiyo. Maderever pia wanahitajika
Mishahara ya kampuni za Ulinzi ni Tsh 100,000-Tsh 250,000+ Inategemeana na kampuni.

Kazi za Madereva huwa zinapatikana, ila ukiwemo kwenye makampuni kama Guard inakuwa rahisi kupata ingawa hata nje huwa wanachukua.

Kuhusu Elimu na JKT wala hata usivitegemee saaana, vitakupoteza.

Wala Usiitegemee Serikali au Magufuli. Kwanza Ndio Magufuli Anafurahia Kuwalipa SUMA JKT Tsh 170,000 Kwamba ni Cheap Security Guards na Hivyo Anabana Matumizi.

Umeingia Mtaani, Usiangalie Chaka, Usiangalie Mtu. Anza Upya.

You Need To Start To Be Great.

Mimi Nimeingia Huku Tangu 2017 Mwezi Wa 10.
 
Shukran Mkuu..

Ila kwny tqngazo nmeona wanataka attachment letter pia CV..

Kampany inaitwa Saramu Security. Unaweza kunipa A B C khs hili kampany..
 
Amna vya Cv wala nini ata kesho ukienda ukifika unavalishwa gwanda na buti direct kwenda kulinda mshahara laki amsini ukiwa na tatizo ujaenda kazini bila kuwapa taarifa wanakata elfu kumi unaweza kaa ata miezi mitatu bila mshahara ika awadhurumu mtu pesa utapewa
Miezi mitatu bila mshahara itabidi umbembeleze baba mwenye nyumba na kama mke wako anapika maandazi I huna budi kukuna nazi ya kukandia unga.

Hivi tukifa kuna jehanam nyingine tena!
 
Habari za kutwa wakuu..

Nmesikia sehem company flan ya ulinzi wanatafuta wafanyakazi..

Mishahara yao ikoje kulingana na mtu mwenye ' Kaelimu ' kidogo..
Na jeh wanazingatia CV ya applicant ktk ajira ama wote mnaanza na lindo..

Karibuni..
Nafatilia kufahamu jina halisi la company hiyo. Maderever pia wanahitajika
Amna vya Cv wala nini ata kesho ukienda ukifika unavalishwa gwanda na buti direct kwenda kulinda mshahara laki amsini ukiwa na tatizo ujaenda kazini bila kuwapa taarifa wanakata elfu kumi unaweza kaa ata miezi mitatu bila mshahara ika awadhurumu mtu
Miezi mitatu bila mshahara itabidi umbembeleze baba mwenye nyumba na kama mke wako anapika maandazi I huna budi kukuna nazi ya kukandia unga.

Hivi tukifa kuna jehanam nyingine tena!
Me kuna kampuni naijua hipo temeke chang'ombe juz ndo wamelipwa mshahara wa mwezi wa tano
 
Miezi mitatu bila mshahara itabidi umbembeleze baba mwenye nyumba na kama mke wako anapika maandazi I huna budi kukuna nazi ya kukandia unga.

Hivi tukifa kuna jehanam nyingine tena!

😂😂😂 kwa kweli nmecheka sanaaa..

Mungu asaidie tu. Mateso tunayopitia wengine yanatosh aisee..
 
Back
Top Bottom