Haya ndio Mashirika na Taasisi za Serikali zinaoongoza kwa mishahara na maslahi mazuri. Kama hauna wa kukuleta usiombe ajira

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,682
3,065
Tunamshukuru Mw/M kwa uzima na afya
Hali ya ajira na mfumo wake wa kuijiri kwa nchi yetu bado sio wa kuridhisha sana,mamia ya wanachuo wameendelea kusota mitaani kwa ukosefu wa ajira ,miundombinu ya kujiajiri na kuingia katika sekta binafsi bado pia sio ya kuridhisha, kwangu Mimi ni Mara mia Bodi ya mkopo kwa wanafunzi isitoe mikopo ya kwa wanachuo wakati wa kuanza chuo ,itoe mkopo baada ya kumaliza chuo ili wanafunzi wale wakafanye kazi za kujiajiri lakini uwepo mfumo mzuri wa kutoa na kupokea mkopo.

Graduate wengi hujiaminisha baada ya kumaliza chuo watapata ajira tu punde baada ya kumaliza chuo ama kwa kuaminishwa na nduguze au marafiki na huyatamani mashirika makubwa yenye kulipa mishahara minono minono bila kufahamu mashirika hayo utoaji wake wa ajira umejaa urasimu na rushwa, hapa tutangalia mashirika ya serikali na taasis zake na watoto wa akina nani huajiriwa huko na mishahara yake ikoje ?

1.Benki Kuu ya Tanzania (BoT),
Wakurugenzi hulipana kati Shilingi milioni 15-24 pamoja na marupurupu,mwenye ngaz ya chini ya mshahara ni 2milion .nadra sana mtoto wa maskini kuajiriwa hapa hata kama una. GPA YA 5.,wazazi wa watoto wanaopata hapa ajira ni watoto wa wafanyakazi wa IKULU,mawaziri,viongozi wa majeshi ya ulinzi na usalama kama vile ,IGP,CDF,DG,na watoto wa wakurugenzi mbalimbali ya mashirika ya serikali kama NSSF ,CHF,NHC NK.nadra pia ajira za B O.T kuzisikia mtaani.

2.Taasisi Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF),wakurugenzi hapa hulipana mshahara na marupurupu kuanzia TSh milioni 8-30 kwa mwezi ,watoto wanaojiriwa hapa ,huwa ni watoto wa wafanyakazi wa daraja la kati kama vile naibu waziri,DAS ,RAS ,Mkuu wa mkoa ,mameneja wa taasis za serikali,DC,DED,kidogo na wafanyabiashara.

3.Shirika la Umeme
Nchini (Tanesco), wakurugenzi hapa hulipana kuanzia TSh milioni 13-36 mishahara na marupurupu,sisem mtoto wa maskini hapati ajira hapa, ila zile nafasi kubwa kubwa ,kapuku hawezi kupata Kwa urahisi, hapa watoto wa nafasi hupatikana kwa watoto wa maboss wenyewe wa Tanesco ,wa mbeya anaenda mwanza, wa Mwanza anaenda Dar...wakuu wa idara ya wizara husika na masecretary wa mawaziri.

4.Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
Wakurugenzi hapa mishahara huanzia Tsh milioni 15-36 ,ni shirika linalolipa kwa kwel ,na limejaa rushwa ,watoto wa vigogo wa kati tu hupata hapa ajira, mtoto wa mkulima utapata lakini na karushwa kidogo,rushwa yenyewe sio ya kitoto kuanzia 1M...kazi wenyewe bottom up position

5 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)
Ambapo watendaji wa juu hulipwa Sh milioni 18-36 mishahara na marupurupu,shirika hili ukipata kazi ni siku mbil unajenga nyumba na kupeleka watoto Shule zinazotumia mtaala wa Cambridge .

Taasisi nyingine ni kama

Hifadhi za Taifa Tsh 24 (Tanapa),
Ajira hapa ni nyingi isopokuwa ajira za wakurugenzi hutolewa kwa kujuana na wazir mwenye dhamana pmj na Bodi ya wakurugenzi husika

Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro hapa hadi mhudumu wa kufagia ofisi anamtunishia mshahara Inspector wa polisi ,take home tu mwenye certificate first appointment huanzia 1.6mil

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Tsh34 nani hataki kufanya kazi habarini ,watoto wa vigogo tu ndo kuchukua nafasi kubwa kubwa ,wengine ni watoto wa wakuu wa idara ,wabunge ,mawazi
Nk

Hospitali ya Taifa
Muhimbili (MNH).
Benki ya Rasilimali Tanzania
(TIB),
Shirika la Maendeleo la Petroli (TPDC),
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida),
Bodi ya Bima ya Amana
Shirika la Maendeleo la Taifa
(NDC)
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)
Mamlamka ya mawasiliano Tz (TCRA)

Taasisi zingine ni kama TRA ,NIMR ,TANROAD, STAMICO mashirika haya na taasis za serikali rushwa imejaa sana .

Serikali wekeni mfumo mzuri wa kuwapata wafanyakazi wanaostahili ikibidi kuwaajiri ,wafanyakaz kwa kuwafuata chuoni moja kwa moja.
 
Maswala ya mishahara ya makampuni inategemea na ufanisi kama linaingiza faida ya kutosha na mambo yanaenda ni sawa
 
Umejaza UONGO kwenye mishahara. Kwa hiyo huu hata siyo umbeya ni UONGO. Rais alikwishasema mshahara wa juu zaidi ni mil 15.

Unakurupuka,huyo Rais alishawahi kutangaza kama amefanya hayo maboresho, unajua mkurugenz Mkuu wa Mhimbili hadi sasa amepandishia mshahar au umetoka usingizini,USIWE UNAROPOKA BILA KUFANYA UTAFITI ....FANYA WA KWAKO UJE NAO...
 
Back
Top Bottom