Majina ya nominees wa Kili Music Awards 2015

Majina ya nominees wa Kili Music Awards 2015

TinyMonster

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
242
Reaction score
154
Majina ya walioingia kwenye tuzo mwaka huu. Kura zitaanza kupigwa May 5.

MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIUME
1. Mzee Yusuf
2. Christian Bella
3. Diamond Platnumz
4. Ally Kiba

MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIKE
1. Vanessa Mdee
2. Khadija Kopa
3. Isha Mashauzi
4. Shaa
5. Dayna Nyange

3.MWIMBAJI BORA WA KIUME- TAARAB
1. Mzee Yussuf
2. Prince Amigo
3. Hassan Vocha
4. Hassan Ally
5. Mussa Kijoti

MWIMBAJI BORA WA KIUME- BONGO FLEVA
1. Ali Kiba
2. Ben Pol
3. Jux
4. Diamond
5. Belle 9

MWIMBAJI BORA WA KIUME- BENDI
1. Jose Mara
2. Kalala Junior
3. Khalidi Chokoraa
4. Chaz Baba
5. Nyoshi El Sadat

MWIMBAJI BORA WA KIKE- TAARAB
1. Khadija Kopa
2. Isha Mashauzi
3. Hadija Yussuf
4. Leyla Rashid
5. Fatuma Nyoro

MWIMBAJI BORA WA KIKE- BONGO FLEVA
1. Lady Jaydee
2. Vanessa Mdee
3. Linnah
4. Grace Matata
5. Malaika

MWIMBAJI BORA WA KIKE- BENDI
(Hakukuwa na washindani)

WIMBO BORA WA TAARAB
1. Hasid Hana Sababu - Hadija Yussuf
2. Lady With Confidence - Khadija Kopa
WIMBO BORA WA MWAKA
1. Mwana - Ali Kiba
2. Nani kama Mama - Christian Bella
3. Gere - Weusi
4. Nitasubiri - Jux
5. Bongo Hip Hop - Fid

WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
1. Otilia - FM Academia
2. Kiu Ya Haki - Mashujaa Band
3. Sauti ya Marehemu - Mapacha Watatu
4. Ganda la Muwa - Twanga Pepeta
5. Wale Wale - Vijana Ngwasuma

WIMBO BORA WA R&B
1. Nitasubiri - Jux
2. Unanichora - Ben Pol
3. Vitamin Music - Belle 9
4. Sisikii - Jux
5. Ni Penzi - Damian Soul

WIMBO BORA WA HIP HOP
1. Bongo Hip Hop - Fid Q
2. Mfalme - Mwana FA
3. Kipi Sijasikia - Proffesor Jay
4. Gere - Weusi
5. I See Me - Joh Makini
6. XO - Joh Makini

WIMBO BORA WA REGGA/DANCE HALL
1. Let Them Know - Maua
2. Mama Afrika - Warriors From The East
3. Maisha Magumu - Warriors From The East
4. Greeting For You - Ras Six
5. Tujimwage - Deddy

RAPA BORA WA MWAKA (BENDI
1. Ferguson
2. Msafiri Diouf
3. Sauti ya Radi
4. J4
5. Kabatano

MTUNZI BORA WA MWAKA- TAARABU
1. Mzee Yusuf
2. Thabit Abdul
3. Isha Mashauzi
4. Abdallah Fereshi
5. Hassan Ally

MTUNZI BORA WA MWAKA- BONGO FLEVA
1. Ally Kiba
2. Diamond
3. Ben Pol
4. Barnaba
5. Jux

MTUNZI BORA WA MWAKA- BENDI
1. Jose Mara
2. Nyoshi El Saadat
3. Rogart Hegga Katapila
4. Hussein Jumbe
5. Richard Mangustino

MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP
1. Fid Q
2. Mwana FA
3. Joh Makini
4. Nikki wa Pili
5. Kala Jeremiah

MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- BONGO FLEVA
1. Nahreel
2. Man Water
3. Mesen Selekta
4. Tudd Thomas
5. Marco Chali

MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- TAARAB
1. Enrico
2. Marlon Linje

MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- BENDI
1. Allan Mapigo
2. Enrico
3. Said Comorien
4. Amoroso
5. Ababuu Mwana Zanzibar

VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1. Mdogo Mdogo - Diamond
2. Nitampata Wapi - Diamond
3. Mwana - Ally Kiba
4. Olethemba - Linah
5. Asante - AY

WIMBO BORA WA AFRO POP
1. Mwana - Ali Kiba
2. Mdogo Mdogo - Diamond
3. Niseme - Yamoto Band
4. Nitakupwelepweta - Diamond
5. Kanyaboya - Mesen Selekta
6. Hawajui - Vanessa Mdee

WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA
1. Nani Kama Mama - Christian Bella
2. Basi Nenda - Mo Music
3. Nitampata Wapi - Diamond
4. Nasimama - Lady Jaydee
5. Historia - Lady Jaydee

.WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA
1. Waite - Mrisho Mpoto
2. Vuma - Vitalis Maembe
3. Tumetoka Mbali - Jagguar Music
4. Mama Shabani - Ifa Band
5. Omwana - B.K Sande

MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKIA
1. Baraka Da Prince
2. Beka Tittle
3. Afromaniac
4. Alice
5. Billnas

.WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA
1. Forever - Lady Jaydee ft Dabo
2. Mfalme - Mwana FA fr G-Nako
3. Kipi Sijasikia - Prof Jay ft Diamond
4. Kiboko Yangu - Mwana FA ft Ali Kiba
5. Kerewa - Shetta ft Diamond

BENDI BORA YA MWAKA
1. FM Academia
2. The African Stars
3. Mapacha Watatu
4. Mashujaa Band
5. Msondo Ngoma

KIKUNDI BORA CHA MWAKA- TAARAB
1. Jahazi Modern Taarab
2. Mashauzi Classic
3. Dar Modern Taarab
4. Five Stars
5. Wakali Wao Modern Taradance

KIKUNDI BORA CHA MWAKA- BONGO FLEVA
1. Yamoto Band
2. Weusi
3. Navikenzo
4. Makomando
5. B.O.B
 
ntakupwelepweta sio ya domo wewe
 
Tuzo za hovyo sana,si ajabu utakuta wimbo uliotoka miezi miwili ya mwisho wa mwaka ndio ukashinda,maana ndio upo masikioni mwa wasikilizaji kuliko ule uliotamba miezi saba ya mwanzo
 
Ntakupwelepweta sio diamond ni yamoto band
 
Daaah..Maskin Omary Nyembo Mwaka huu tena???..Daaah!!!!...

Iv n kwel au Hawa BASATA kuna kitu apa pengine hatujui!!!!....

Mbona Na kwenye Upcoming Artists Mo Music Hayupo??...Au teyar n msanii mkubwa???

Na istoshe Baraka Da Prince alkuja baada ya Mo Music Aisee Apa amnaaaaa kuna kitu sio Buree
 
Basata inaongozwa na wazee wanaosubiri kufa unategemea nn..!!?hvi hyu afromaniac anawezaje kumuacha nje mo music..!?Ay qna ngoma nzuri kibao ila wamemkaushia,alafu hvi bongo,wanaofanya hiphop ni weusi tu.? Ata kma wanapanga basata bas kidogo na kilimanjaro waongeza za kwao.!!
 
Kwa Mo Music nakubali wamechemka sana kumuacha ule wimbo ulikuwa national anthem.
 
Tuzo za hovyo sana,si ajabu utakuta wimbo uliotoka miezi miwili ya mwisho wa mwaka ndio ukashinda,maana ndio upo masikioni mwa wasikilizaji kuliko ule uliotamba miezi saba ya mwanzo

Wanaopiga kura ni wananchi watakaeona anafaa ndiye atapewa
 
Daaah..Maskin Omary Nyembo Mwaka huu tena???..Daaah!!!!...

Iv n kwel au Hawa BASATA kuna kitu apa pengine hatujui!!!!....

Mbona Na kwenye Upcoming Artists Mo Music Hayupo??...Au teyar n msanii mkubwa???

Na istoshe Baraka Da Prince alkuja baada ya Mo Music Aisee Apa amnaaaaa kuna kitu sio Buree

Kwani Dimpoz hajawekwa?
 
Tuzo za hovyo sana,si ajabu utakuta wimbo uliotoka miezi miwili ya mwisho wa mwaka ndio ukashinda,maana ndio upo masikioni mwa wasikilizaji kuliko ule uliotamba miezi saba ya mwanzo

kweli angalia xo eti umo kwenye category
 
Ommy Dimpoz hata kupendekezwa?
Ila tuzo 7 mwaka huu kwa diamond haitokei
 
Nilisubiri wimbo wa diamond na hadija kopa ungekuwa kwenye nyimbo za taarabu kumbe wa mwaka huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom