Jay Msimamo
Member
- Jul 11, 2013
- 92
- 17
Hata Kama Lakini Haikuhusu
"Kama kuoga ni usafi, kwa nini taulo linachafuka?"Kuna misemo ya bongo huwa naipenda sana, embu cheki huu
KULIKO KIOZE, HERI NIMPE JIRANI YANGU. Hahahahaha
Embu na wewe tupia msemo wako unaokufurahisha sana.
masikini akipata ------ hulia mbwata
kama mvuvi vua usichezee mashua.