Titans
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 1,459
- 3,375
wana JF nimeamini kuwa JF ni jamii kamili kabisa..kama mnavoelewa ukienda kwenye maeneo ya migodi wana lugha zao,ukienda gereji wana lugha yao,nami nimekutana na misemo ya kila namna humu JF,na kama ukifuatilia maana zake unaweza cheka sana..mnaweza ongezea
masa.buri
dushe.le.le
kabaaang
0713
marinda
kinanabia
.....
masa.buri
dushe.le.le
kabaaang
0713
marinda
kinanabia
.....