Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,694
- 1,772
hiyo kiboko......hapo kwenye red...ndio maana nina mipano mingi ambayo haietekelezeki...........1. Maskini haishiwi ndoto.
2. Heri karipio la rafiki, kuliko busu la mnafiki.
3. Wakijifanya mapaka, sisi paka tupo.
hahahahahahah...kumbe pesa inafunua kila kilchojificha eeeeh!!!pata pesa tujue tabia yako.
Ukisoma utasumbua.
wengine ni wasukuma mikokoteni......sio kila mchina ni mkandarasi
mhhhhh!...ndimu changa haina maji...ina maanisha under 18?1. Matunda hayapikwi
2.Msaada hauna risiti
3.Hodi ya chooni haijibiwi
4.Mashindano ya umiss hayafanyiki gizani.
5.Ndimu changa haina maji
6.
hahahahah...kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote.....Ncha ya mkuki haipigwi ngumi
Tehe tehe kula tano Mzee 20111. Maskini haishiwi ndoto.
2. Heri karipio la rafiki, kuliko busu la mnafiki.
3. Wakijifanya mapaka, sisi paka tupo.
Aiseeee Mwita25 upo juu, daaaaah.1. Matunda hayapikwi
2.Msaada hauna risiti
3.Hodi ya chooni haijibiwi
4.Mashindano ya umiss hayafanyiki gizani.
5.Ndimu changa haina maji
6.
Kama mapenzi ni pesa kafunge ndoa na benki
Mungu wangu!!wazinzimhhhhh!...ndimu changa haina maji...ina maanisha under 18?