Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,400 Reaction score 872,008 Oct 1, 2013 #1 Yu wapi mtu huyu? Au ndio wale walivuma ....??!!
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,914 Reaction score 10,276 Oct 1, 2013 #2 Yupo UDSM anafundisha
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,400 Reaction score 872,008 Oct 1, 2013 Thread starter #3 Belo said: Yupo UDSM anafundisha Click to expand... Big up sana amechagua fungu jema
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Oct 1, 2013 #4 Kuna uzi ulijadiliwa humu kumhusu yeye
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,904 Reaction score 134,908 Sep 16, 2018 #5 Nimepokea kwa shock taarifa ya kifo cha Misanya Bingi, nilifanya nae mahojiano wakati wa msiba wa Uncle J. RIP MISANYA DISMAS BINGI! P.
Nimepokea kwa shock taarifa ya kifo cha Misanya Bingi, nilifanya nae mahojiano wakati wa msiba wa Uncle J. RIP MISANYA DISMAS BINGI! P.
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,937 Reaction score 5,755 Sep 16, 2018 #6 Mungu wangu daaah ametutoka?????
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,962 Reaction score 35,215 Sep 17, 2018 #7 Alifariki lini? heeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!