Kiongozi jibu hoja za Heche yupo wapi Emanuel Nchimbi,na Polepole?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,373
Reaction score
12,020
Nikitazama kengeza lako ukiwa na akili, ila mjini Heche yu wapi Pole pole na Emanuel Nchimbi?
 
Siku akibanwa mahakamani aseme kama lisema hii kauli atasema AI na hajui!.....jamaa mropokaji alafu mwepesi wa kukana
 
Sio kazi ya Kiongozi wa Chama cha Siasa kuelezea kila mtu yupo wapi. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua uhuru wa privacy.
Ccm ndiyo inatoa maelekezo kwa watumishi wote ikiwemo watumishi wa majeshi ya ulunzi na usalama.
Hivyo wanafahamu aliko Polepole.
 
Siku akibanwa mahakamani aseme kama lisema hii kauli atasema AI na hajui!.....jamaa mropokaji alafu mwepesi wa kukana
Mahakamani hawajibu vitu hovyo hovyo kama mnavyojibu mnapokuwa mnakunywa wanzuki, mnazi na chimpumu mnapokuwa vibanda umiza ,huko kuna majibu ya kiufundi.

Unaweza ukaulizwa waambie majaji ulishawahi kutembelea nchi ngapi? Ukijibu sijui au sikumbuki haina maana kwamba haujawahi kusafiri nchi yeyote ,hilo jibu la sijui au sikumbuki unaweza ukaja ukalitolea ufafanuzi baadae lakini ukijibu nchi nne kumbe majaji wanajua ulitembelea nchi sita hauoni kama ushahidi/uetetezi wako unakuwa wa walakini?
 
Kukana ulichosema au kukiamini pia ni tabia za kike. Kwa Nini wanakana kama wanajua wapo sahihi na sio kosa? Wanataka nani wawajibike? Watoto wa gen z? Watoto wao wanna uraia wa nje na wanatii Sheria za nchi zao.
 
Back
Top Bottom