Saskatchewan
Senior Member
- Oct 16, 2011
- 148
- 21
kipekechuo= toothpick
Maswala mtambuka-cross-cutting issues
Kama ngamizi yako ina wavuti basi tembelea tovuti yetu www.jamiiforums.com.
Kiswahili kitamu sana, raha kweli kukitumia.
Kuna haja ya kujulkishana misamiati mipya ya lugha yetu adhimu. Kila siku lugja yetu inakua na misamiati inaongezeka kila siku.
Hapa kuna baadhi ya misamiati, pia naomba ndugu zangu muongezee baadhi ya maneno ya Kiswahili sanifu.
Tafrija mchapalo ni cocktail party.
Kanguvuke ni jenereta
Rununu ni simu ya mkononi
Weledi ni profesionalism
baobonya ni keyboard
Puku ni mouse.
Ngamizi ni kompyuta
.wavuti ni internet
tovuti ni website
Kichakata matini ni word processor
Runinga ni television.
Naomba tuongezee misamiati mingine
Watoto UMADI ni street children

mkuu hilo neno mtambuka hata huwa silielewi, msaada tafadhaliMaswala mtambuka-cross-cutting issues