Hivi popoma maana yake ni nini?Kutukuka
Popoma
Hivi popoma maana yake ni nini?Kutukuka
Popoma
hyo posho kiduchu....posho wanayopewa vijana wa Lumumba ccm
Hyo popoma... sijaipata fresh mkuu, nisanue kidogoKutukuka
Popoma
DuuuhHogo la jang'ombe
yeahhyo posho kiduchu....
Mako makuu ya ccm taifa yapo kariakoo mtaa wa lumumba ndio maana ya wanalimumba!.Sijawahi elewa maana ya Lumumba, niambieni maana yake tafadhali
Lumumba ni mahali/mtaa zilizopo ofisi kuu ndogo za chama dola (CCM) hapa Dar. Ofisi kubwa za chama ziko Dodoma.Sijawahi elewa maana ya Lumumba, niambieni maana yake tafadhali
Papuchi ni nini?Pichu
Papuchi