Misamiati inayotumika kwa wingi hapa JF

FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
6,044
2,000
Ifuatayo ni misamiati inayotumika kwa wingi na pengine kwa upekee tu hapa JF kiasi cha kwamba ukitumia kwenye mitandao mingine ya kijamii unaweza usieleweke;

Mkuu
Chattle
wakiamaanisha Chato
Mkulu
NgoshaKaribu mwanajukwaa Uendeleze na wewe misamiati hiyo
 

RO7 ZA MGOS

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
488
1,000
Huwa naamn jamii forum ina watu wa kuigana sana kila mtu mkuu alafu wanapenda kutajana sana utazani wao ndo waazilishi wa hii platform na wanaamin watu wengne hawawez kupost kitu cha maana kwakuwa sio flan kapost huwa nawadharau sana weng wenu ndo maana misamiat ni ile ile ya mkuu na papuchi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom