- Thread starter
- #21
Kama misafara ingekuwa ni kigezo cha usalama wa viongozi Magufuli angeishi mileleUtahitaji Chopa si chini ya kumi kuhakikisha rais anakuwa covered sawa sawa! Bado tuna kumbuka kilichotokea kwa marais wa Rwanda na Burundi wakati wa vurugu za kikabila.
Hata hivyo, siungi mkono msafara mrefu namna hiyo kama unatumiwa mara nyingi kwa mwezi katika eneo moja.