Tulimfukuza Likwilile PhD, tulikuwa tunategemea Dotto afanye nini?Mnyarwanda anaongoza mazungumzo kwa niaba ya serikali ya Tanzania?
Ni kiasi gani wanywaranda sasa wanaingia na kutoka serikalini? Ni nani alimpa kazi hiyo na amelipwa nini? Alitumwa na kukubaliwa na kagame?
Ameweza kupata siri ngapi za nchi na kuzipeleka idara ya usalama ya Rwanda? Hawa watu wanaingia mpaka jikoni kujua tuna akiba ya chakula kiasi gani!! Usalama wa fedha na uchumi ni usalama wa Taifa
Wako maafisa nguli nchi hii tangu enzi ya Mkapa walioongoza majadiliano magumu kabisa mpaka tukasamehewa madeni,hawaaminiki?
Katibu Mkuu Fedha haaminiki? Kwa nini yuko hapo?
Je ni masharti gani hayo?
Haya ya kutaka watu wafanye mikutano ya hadhara ? Haya ya uchaguzi wa Zanzibar? Haya ya sheria za mitandao? Haya ya demokrasia? Nani anazuia na kwa faida ipi kwa taifa? Wangapi wamekufa kwa kukosa madawa hospital I kutokana na kukosa misaada na wangapi wanaishi kwa kuzuia mikutano ya hadhara?
Haya mambo ambayo kagame anaongoza kwa kuyakiuka eti leo inaonekana ana nafuu mpaka anaenda kutubembelezea kwa wahisani?
Na mtakoma kuchagua visivyochagulikaHuyu hajui alitendalo
N
Navyo kumbuka Kaberuka aliongoza team iliyo investigate zile lumbesa za stanbic, Na donor Mara nyingi wanataka financial discipline, sio wao wanatoa wewe unachukua kwenye lumbesa. Tumshukuru Raisi Na Kaberuka kulifanya hilo fraida zake wote tunaziona iwe ni donors, serikali, watendaji na wananchi kwa jumla.
Imevuja ! Masharti mengine ni pamoja na yale ya KUMKABIDHI MAALIM SEIF USHINDI WAKE BILA MASHARTI YOYOTE .Mwisho kesi za hovyohovyo zinazotokana na watu kutumia haki ya kidemokrasia zifutwe,kesi za lissu,lema na wengine wa mitandaoni
Viva Bahima empireNi mnyarwanda. Ingia google u-search hilo jina utapata maelezo yake.
Maalim Seif sio mtu wa sport sport, na hata asipopewa haki yake mwaka 2020 kitaeleweka tu maana ccm imechokwa bara na visiwani.Imevuja ! Masharti mengine ni pamoja na yale ya KUMKABIDHI MAALIM SEIF USHINDI WAKE BILA MASHARTI YOYOTE .
Wewe ndio hamnazo. Hiyo ni vision ya Rais that Tanzania is going to be a Donor Country. Aliyekuambia itakuwa baada ya mwaka mmoja ni nani! Namuelewa Mh. Rais Kuchagua Madoctor na maprofessor ndio wanaomulewa . Sisis kina kapuku huku tujishebedue katika level yetu ya Mtandaoni!Ujeuri wa kijinga-;
Makusanyo ya ndani Tsh 15.5 trillion
Bajeti Tsh. 29.5 trillion
Madeni. Tsh. 6.3 trillion
Ni mwenye PhD feki pekee anaweza kujidai hahitaji misaada
Sharti moja dogo ni pamoja na kuapishwa kwa lile jabali la siasa za Zanzibar , hatimaye Zanzibar ikombolewe rasmi .Mbona hujayataja hayo masharti tuyaone????
Umehororoja tu bila kueleza hayo masharti ni yapi na yatatuathiri vipi au ni mazuri kwako ndio maana umeshanbilia?
Labda kama unaishi njeNa mtakoma kuchagua visivyochagulika
Kaberuka anaifahamu tanzania kuliko wewe ndugu yangu. Alisoma na kufanya kazi hapa Aliondoka baada ya kagame kuchukua hatamu hata prof rwakabamba.Mnyarwanda anaongoza mazungumzo kwa niaba ya serikali ya Tanzania?
Ni kiasi gani wanywaranda sasa wanaingia na kutoka serikalini? Ni nani alimpa kazi hiyo na amelipwa nini? Alitumwa na kukubaliwa na kagame?
Ameweza kupata siri ngapi za nchi na kuzipeleka idara ya usalama ya Rwanda? Hawa watu wanaingia mpaka jikoni kujua tuna akiba ya chakula kiasi gani!! Usalama wa fedha na uchumi ni usalama wa Taifa
Wako maafisa nguli nchi hii tangu enzi ya Mkapa walioongoza majadiliano magumu kabisa mpaka tukasamehewa madeni,hawaaminiki?
Katibu Mkuu Fedha haaminiki? Kwa nini yuko hapo?
Je ni masharti gani hayo?
Haya ya kutaka watu wafanye mikutano ya hadhara ? Haya ya uchaguzi wa Zanzibar? Haya ya sheria za mitandao? Haya ya demokrasia? Nani anazuia na kwa faida ipi kwa taifa? Wangapi wamekufa kwa kukosa madawa hospital I kutokana na kukosa misaada na wangapi wanaishi kwa kuzuia mikutano ya hadhara?
Haya mambo ambayo kagame anaongoza kwa kuyakiuka eti leo inaonekana ana nafuu mpaka anaenda kutubembelezea kwa wahisani?
Naona kama umechanganikia mtoa post umeandika Maelezo mengi masharti unaosema ya EU hujainisha hata sharti Moja kwenye mandilo yako VP umepima maleria kweliKwanza nianze kwa kusema, naunga mkono juhudi za Rais wetu kutaka Tanzania ijitegemee. Ni mtazamo wa watanzania wengi tu na hata vyama vya upinzani wameliongelea sana suala hili.
Misaada ambayo Rais wetu amepokea juzi toka kwa umoja wa ulaya imerudi kwa masharti yaleyale, The Citizen linaripoti. Kwa mujibu wa gazeti hilo licha ya msimamo wa Rais kuhusu misaada toka nje, ilikuwa vigumu kwa bajeti ya 2016/2017 kutekelezeka kama mchezo wa paka na panya ungeendelea.
Ukweli ni kwamba watu kutoka serikalini walikuwa wanafanya jitihada nyuma ya pazia kuokoa jahazi kwani ilikuwa bayana kwamba misimamo wa kisiasa wa Rais wetu ulikuwa haumsaidii yeyote.
Wakati Rais Magufuli akiendelea kutuaminisha wananchi masikini kwamba wahisani hawana tena nafasi ya kutupangia masharti, inaelezwa kuwa wawakilishi wa serikali walijadiliana mpango ambao kimsingi utamfanya mkuu wa nchi aendelee kuyaishi masharti yaleyale ambayo alijinasibu huko nyuma kuwa hatoyakubali asilani.
Naishauri serikali na Rais wetu, ukimya nao una busara zake katika kufanya maamuzi na kuweka mambo sawa, "tusitukane mamba kabla hatujavuka mto", tusipende kuongea sana kwa kufurahisha genge, “twende strategically” tutafika. Kwa madhara yaliyotukuta safari hii kwa bajeti yetu ya 16/17 kupumulia mashine hili liwe fundisho kwetu sote.
Ushauri kwa wasomi wetu, acheni kujipendekeza, mwambieni Mh. Rais ukweli, ongeeni ukweli kwa faida ya Taifa letu na vizazi vijavyo. Msiongee kumpendezesha Mh. Rais ili tu muonekane.
Mwisho, shukrani za pekee kwa bosi wa zamani wa Africa Development Bank Ndg. Donald Kaberuka kwa kuongoza mazungumzo yaliyofanikisha misaada tuliyoshuhudia ikirudi wakati Rais wetu alipokutana na Balozi wa Umoja wa ulaya.
Mungu ibariki Tanzania
Kaberuka anaifahamu tanzania kuliko wewe ndugu yangu. Alisoma na kufanya kazi hapa Aliondoka baada ya kagame kuchukua hatamu hata prof rwakabamba.
Nimepima mkuu.Naona kama umechanganikia mtoa post umeandika Maelezo mengi masharti unaosema ya EU hujainisha hata sharti Moja kwenye mandilo yako VP umepima maleria kweli
Sina hakika mkuu kama alianza kutusaidia akiwa bado ADB au alishaondoka. Ntawatafuta wahusika niwadodose.Ni raia wa nchi gani?
Kimsingi hana haki za kiraia hata kama ana nia njema kiasi gani,huwezi kutumikia mabwana wawili,Rwanda na Tanzania