Miriam Migomba aacha kazi TBC

Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.

Anaposema anawaambia mashabiki zake kwamba anaacha kazi, kwani yeye ni timu au mwanamichezo hadi awe na mashabiki?

Ni kitu gani anaficha, ni kama vile anatafuta sympathy kwenye jambo ambalo bado halijakuwa wazi...
 
Unawezaje kukaa kwenye kampuni moja Miaka 20? Unless kuwe na growth na mpunga, vinginevyo hapana asee.
Wakina Sisi Mwaka tu tukiona hapaeleweki tunatafuta chobingo nyingine kwenye maokoto mengi mengi mengine,
 
Kwanini unalia, uchungu unatoka wap? Kilo chake kimenisisimua na kuamsha waliolala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…