SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

Stories of Change - 2022 Competition
wenye mamlaka kuhusiana na jambo hili walitazame kwa jicho la tatu hakika
Umesema ukweli sisi wanawake ndio tunaonyanyasika na kukandamizwa vilivyo
 
Wajane ni kundi linalinyanyasika sana.

Hivi unaweza kuwaza kuwa mume amefariki lakini kaka wa marehemu anaungana na watoto wa nje ya ndoa kumnyanyasa mjane.

Wajane muwe imara, wakati mwingine unabaki umesimama pekee yako na watoto uliozaa tu.

Inasikitisha
 
Ukiingia kwenye ndoa wkt huyo bwana tayar ana majumba na magari,KAMWE hautahesabiwa fifte fifte...prove me wrong!
Hilo lipo wazi kwamba unaweza pata sawa kwa sawa au kwa kiasi ambacho amechangia katika pato la familia ko kama amechangia 20% basi atapata hio
 
kaka wa marehemu huchululia tamaa tu ya mali wao sio warithi halali ikiwa watoto na Wazazi wapo
 
Tuishi humo
 
Safi kazi nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…