Miraji Kikwete: Vurugu za Mbeya CHADEMA isizingiziwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miraji Kikwete: Vurugu za Mbeya CHADEMA isizingiziwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Nov 16, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Safi sanaa kijana (MIRAJI) kwa kuusema ukweli,kwani tumekuwa tukitupa lawama kwa chadema mda wote kwa kila jambo baya,

  kama mtoto wa Raisi kauona ukweli basi hata Raisi nadhani atakuwa ameuona ukweli huo

  Nakupongeza kwa kuwa mtu wa kwanza kwa upande wa ccm kuweza kusema na kuona ukweli huo
   
 2. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Blavo Riz 1
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kikwete anawatoto wengi sana, aliyesema ni nani au ni kamchondo, kale kadogest?
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  mbona habari iko nusunusu sana Mpwa, jaribu kupakua mzigo mzima
   
 5. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni miraji sio Riz1.
   
 6. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hakuna kitu pale labda kaambiwa aseme hivyo kichwa hakina kitu kile kimejaa picha za akina da.......tu
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Hivi akisema mtoto yeyote wa Kikwete ndio tamko la Serikali? acheni kutuzingua bwana, aseme atakacho shauri yake, sisi tunataka majibu ya zile mali alizojilimbikizia chanzo chake ni nini?
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Anasema kama nani sasa?
   
 9. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,609
  Trophy Points: 280
  Sanaa ya CCM inaendelea...
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu tupe detailed infromation plz..thread yako haina mashiko...
   
 11. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Kwa hyo akisema huyo mtoto wa rais ndo nini? His words weigh nothing.
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,125
  Likes Received: 7,374
  Trophy Points: 280
  Kasema hivyo lini na wapi??
  Unapokua unapost thread,
  Jivue uhusika wa M-post thread ujivike wa msomaji kisha ujiulize inaeleweka ama vipi kabla ya kui-submit.
   
 13. Shut Down

  Shut Down Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa aongee na mshua basi...
   
 14. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  kwani wewe ulkua unasubira confirmation ya mtoto wa raisi!??
   
 15. s

  smz JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani,

  Mimi sijaelewa vizuri heading na pongezi anazopewa huyu mnayemwita mtoto wa Rais. Heading inasomeka: "VURUGU ZA MBEYA CDM ISINGIZIWE" yaani ametaka CDM ibambikizwe. Unless mleta mada aseme alimaanisha "ISISINGIZIWE".

  Naomba kutoa hoja.
   
 16. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Una uhakika gani kwamba ni Riz1? maana Jk ana watoto wengi.
   
 17. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  acha uvivu mkuu

  ingia ktk face book,sikiliza magazeti,na hata igoogle utapata yote hayo,mimi nimekupa 20% yaliyobaki 80% tafuta

  nilichokiweka kipo kama klivyo ktk mitandao mingine ya kijamii
   
 18. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  soma tena,ni swala la uelewa hapo mkuu
   
 19. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbona hujaeleweka mkuu! mtoto yupi? aliongea wapi? au ulikuwa unapiga naye story2 akasema hivyo ukapagawa mwenyewe
   
 20. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Riz1??????????
   
Loading...