Ni vya kwake? Prof. Mzima unaendesha stationery? au mpesa, waachie darasa la saba bwana, ipo siku utakuta prof. Anauza chapati na utasema ni sawa.Huna unachojua mwehu wewe! Unafahamu Prof. Mdegela wewe? Wacha nisitaje miradi yake! Mbona wengi tu wanapiga hela kwenye fani zao! Unataka prof. Wa SUA asifuge ng'ombe? Eti unasema ng'ombe wawili, hujawahi kumwona Prof mwenye ranch ya ng'ombe wa nyama na maziwa pale SUA?
Kwani wamedharauliwa wapi? Mleta mada kataja miradi yao tu au haukutaka haitaje? Ni kosa kuitaja?Wewe ambae hujasoma una nini kuwazidi maprofesa.
Tuache kujifariji na tuheshimu wasomi wetu japo kidogo.
Kama wana mishahara mizuri yanini kujifanyisha biashara mbuzi, kuendesha stationery na mpesa ndio biashara gani kwa prof. Wanatakiwa wafanye mambo makubwa yanayoendana na elimu zao na vipato vyao.Dogo ni mpuuzi anaongea asichokijua! Hakuna mtu anapiga life kama ma professor. Tena hata huo mshahara uliomtajia ni wa lecturer wa kawaida senior lecturers wako 10m na kuendelea!
Kwa maana yeye hatakiwi, kuishi vizuri wala kujihangaosha sababu siyo profesa.Nafikiri mtoa mada anaongelea maprofesa, sidhani kama yeye ni profesa.
Kwanza profesa siyo mfanya biashara, hata ikitokea inatokea tu, ila siyo eneo lao, tuwalaumu kwa kuto kufanya tafiti za maana na kugundua, mambo muhimu ya kuisaidia mchi.Wewe ulitaka wabuni miradi gani?
Tupe refference ya maprofessor wakubwa duniani na miradi waliyoanzisha ili tulinganishe
Wamekuwa wakali kama pilipili kichaaHakika umetoa familia za maprofesa kutoka mashimoni. Wamepata hasira hao! Ungekuwa karibu wangekuchoma moto kama kibaka.
Mkuu, kweli Tz hii kuna prof ambaye ana maisha kiasi kwamba hatamani kufanya biashara ya Bar/mifugo ? Serikali ya Marekani ina pesa kiasi hiko cha kuwafadhili ma professor wote wa SUA kiasi kwamba wameridhika ?Huwajui ma prof wewe, profesa wa SUA anafadhiliwa na USA milions of TSh kwa utunzaji wa Mazingira au Milima au Ufugaji,hawezi hangaika na bar au mifungo
Hiyo ni nature ya Binadamu wengi wa fani hoyo, they always seek comfort, kwa mfano, una miaka 40+ na nyumba moja ya kawaida tu na gari moja au mbili second hand au fourth hand hasa hizi IST, Harrier nk, huna mradi wowote wa kuingiza pesa nzuri yani una maisha ya kawaida wakati wewe ni mpenda misifa na kujikweza unaamini kwanza una akili sana na uliamini Elimu ingekufanya uwe bora kuliko binadamu wote.Hawa jamaa ni watu wa ajabu pale UD wengine ukienda ofisi zao kuwaulizia usipotaja mwanzoni title ya Prof...
Ukasema Mr...
Wanakukaushia. Jamaa wana mambo ya ajabu sana. Wanapenda sana sifa na kunyenyekewa
Unajua watu mnachekesha sana....Sasa milion 6 Kwa mwaka si milion 72.
Kuna wafanyabiashara hiyo Hela ni ya mwezi tu.
Upo nje ya point ya huyo jamaa, ameuliza hao ma professor aliowataja wamefanya nini cha maana ? Anadai ni weupe kichwani sababu hawajaleta input yeyote kwenye Taifa, hilo swala la mali sio hoja yake ya msingi ni kama kibwagizo tu. Kina kabudi wamefanya nini ?Utakuwa humjui Tibaijuka wew....utajiri wake ni ukoo wenu mara 10 na bado hamfikii...
Fuatilia shule za Babro johson na Kajumlo alexender kule bukoba
Dogo ni mpuuzi anaongea asichokijua! Hakuna mtu anapiga life kama ma professor. Tena hata huo mshahara uliomtajia ni wa lecturer wa kawaida senior lecturers wako 10m na kuendelea!
Mkuu, kweli Tz hii kuna prof ambaye ana maisha kiasi kwamba hatamani kufanya biashara ya Bar/mifugo ? Serikali ya Marekani ina pesa kiasi hiko cha kuwafadhili ma professor wote wa SUA kiasi kwamba wameridhika ?
Mimi nafikili hamjaelewa lengo kuu la mleta mada ama kuna panick. Anyway, ningependa nijibiwe hayo maswali yangu mimi kama observer wa huu mjadala
Hakuna ma prof huko😂🙌🏼Mbona sioni file la CBE,TIA,IFM