macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,310
- 57,090
Tafiti zinazoishia kwenye makabati? Anyways kosa ni la viongozi wa nchi ila nao huwa wanajishusha mno.Hata hapa wanafanya utafiti sana tu! Hebu nenda utafute ukweli kuhusu hii project pale SUA.
Kabla ya kukimbilia kutuletea miradi ya hao Maprofesa wa Bongo, ulitakiwa kwanza kutuwekea miradi yako unayoimiliki wewe kama wewe kwa 💯% huko uliko mpaka sasa, ili kuwamotivate wengine.
Maana ufahamu unapo mnyooshea mwenzako kidole kama hivi; 👉 basi ukumbuke kuna vidole vingine vitatu vinakuelekea wewe mwenyewe.
Salam kwako Prof😀Kabla ya kukimbilia kutuletea miradi ya hao Maprofesa wa Bongo, ulitakiwa kwanza kutuwekea miradi yako unayoimiliki wewe kama wewe kwa 💯% huko uliko mpaka sasa, ili kuwamotivate wengine.
Maana ufahamu unapo mnyooshea mwenzako kidole kama hivi; 👉 basi ukumbuke kuna vidole vingine vitatu vinakuelekea wewe mwenyewe.
Na wanagombaniaHuruma.
Miradi ambayo hata std 7 hufanya
tofauti kabisa na maprof wa mbele. though hao wa dodoma na mzumbe wa lodge na hotels, ndio wameona vizuri.1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
Nkuu,ww Ni Ntu ya Morogoro kabisaa 😀😞Nongeni bar kigurunyembe /sua
Groness hotel nanenane /sua
White inn hotel kikundi /sua
Bizzed hotel /Sua
Alc hotel karibu Jordan/ sua
Motel nanenane / sua.
Mkuu wanasiasa wapo tayari kuchukua tafiti za wasomi na kuzifanyia kazi?Naomba nieleze Tafiti za maprofesa wa Tanzania zilizo saidia mabadiliko makubwa katika nyanja za kimaisha ya watanzania kiujumla.
Angalau kwenye nyanja za kiuchumi, kielimu na Afya.
Maprofesa hao walio soma wana misaada gani kwa taifa?Vilaza uwa mnajifariji kinoma.
Soma basi na wewe uwe Profesa.
Sawa hatujakataa lkn wana miradi ya aja ajabu isiyolingana na adhi yao.Kwa maana yeye hatakiwi, kuishi vizuri wala kujihangaosha sababu siyo profesa.
Mama Tibaijuka hata akifuga ng'ombe wawili ni kwa ajili ya maziwa tu, siyo biashara. Profesa mwenye maisha magumu nani, Issa Shifji, ama Sarungi, ama Lipumba
Inawezakana nia kuwaamusha, ila amsha kada zinazoishi kwa shida baada ya kustaafu, maprofesa wanaishi vizuri sana, kama kuna wawili watatu wana maisha mabaya, siyo katika wengi.
Maprofesa wa Tanzania wamefanya Tafiti gani zilizo leta mabadiliko makubwa nchini?Hii nchi kila mtu analaumiwa. Hivi nani mwenye nafuu ?
Hata MO, Bakhresa nao hulaumiwa.
Suluhisho ni nini ?
Kwa nini unataka mtu mwingine abebe majukumu yako? Kwani jukumu la kuanzisha biashara kubwa ni la professor peke ake?
Kwa nini mtoa mada na wewe sio tajiri ? Mbona USA matajiri hawajamaliza chuo kikuu.
Kwa nini mtoa mada usiwe professor ili uje utoe mfano wa kuwa professor tajiri?
Nahitimisha kwa kusema kila pungufu la hii nchi linamuhusu kila mtu, tumejitoa ufahamu na kubebesga lawama kundi fulani la watu watutatulie shida zetu.
Ukilinganisha kipato cha Professor wa USA na tajiri wa kule wap9 the same boat na wetu.
Prof wa USA analipwa Mpaka dola laki 1+ wakati tajiri wa kule USA ana miliki dolla bilioni 50 mpaka 200.
Ina maana hao professor wa marekani hawana akili?
CEO wa OPEN AI ni kijana mdogo alie acha shule, ila kwa muda mfupi ameisha washinda utajiri maprofesa wengi wa USA.
Fanyeni comparative analysis ya hawa watu dunia nzima, they were not prepared for making money but for finding solutions.
Bila wao watu wengi duniani tungesha kufa( nimeongea kiujumka).
Punguza ujuaji mkuuMaprofesa wa Tanzania wamefanya Tafiti gani zilizo leta mabadiliko makubwa nchini?
Stationary ni sawa Stationery?Stationary na Wakala wa pesa- Mweka college of wildlife
Sawa hatujakataa lkn wana miradi ya aja ajabu isiyolingana na adhi yao.
Muda unakimbia, kuna kipindi nilikuwa na sup 4, kwahiyo ningetoboka 60, kipindi napiga hapo Sua 2011-14 niliacha ni free, na freedom square ilikuwa inajaa, siyo mchezo, acha waingize mapato...SUA wameweka sup za kulipia sup ni 20 ukipata zaid ya 1 unaongezea elf 10.
Wakati SUA sup wanapatakaga nusu ya chuo.
Acheni uongooooooSUA kuna Profs wanazoa mpaka 15m.