Miradi ya maendeleo China -Uganda inagusa wananchi moja kwa moja

Changamoto ya baadhi ya watu wanaotoa tafsiri hasa ya maendeleo kwa kujenga stand za mabasi ni kwa kuwa wana uhakika wa "kuvuta" wakati wa ujenzi au wanaweza kuvuta pia kwenye collection za mapato kwa stand kama ya Msamvu Morogoro au Dodoma.

Ila kwa muono mwingine, kama ingejengwa hospital kama mtoa hoja ulivyosema, na sehemu ya hela ikakopeshwa Mtanzania sio fedha, ila mitambo ya kuchakata hata dawa za syrup za watoto au watu wazima. Iwe panadol au dawa za kikohozi, na mwingine akapewa mtambo kuchakata chupa za kufungashia dawa, na mwingine akapewa mkopo wa mitambo ya boxes za packaging;

Outcome na impact ya huu mradi wa kijamii na mrejesho wake kibiashara kwa kurejesha fedha kwenye kapu kuu ili na wengine wakope ungekuwa mkubwa zaidi.

Bahati mbaya, Wizari wa viwanda sijui huwa wanawaza nini kuanzia Mwijage, Kakunda na sasa Bashungwa.
Kuna wakati hata simu zao ukiwapigia kuomba appointment walau kuonana na kuzungumza hawapokei simu.
Loh, it breaks our hearts tunapokuwa na Rais mwenye kuonesha vision, then wasaidizi wanashindwa kutafuta collaborators kuitafsiri vision na kuchagiza implementation yake kwa haraka zaidi
Inaonekana wewe uelewa wako wa uchumi na neno sustainability upo zero.
Unatakiwa uelewe tena kwa herufi kubwa kwamba huduma za kijamii lazima ziwezeshwe na kipato cha aina fulani sasa wewe unaona hiyo miradi mingine haisaidi uwepo wa hiyo hospital unayo ishaididia ??? Huyo Dr atafikaje huko hospital , hata huyo mgonjwa mwenyewe, dawa atafikaje huko hospital??
Operation itafanyikaje kusiko kuwa na umeme, uhifadhi wa dawa, ufundishaji wa hao madaktari n.k

Pili kwenye suala la syrup , unaweza kuwekeza fedha zako binafsi au kukopa ukafanya hiyo biashara, au ulitaka serikali ikupe hiyo pesa ??
Yaani unashindwa akili hata na Mchoma mishikaki au mpiga polishi anayejua mtaji unatoka wapi na jinsi ya kuukuza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom