Minneapolis: Vurugu zatawala katika siku ya pili ya maandamano kupinga kifo cha mtu mweusi alieyeuawa na Polisi

Hili ni miongoni mwa matukio yaliyonijaza hasira na hata kunitesa kisaikolojia, ningekuwa US nadhani ningekuwa mstari wa mbele kufanya maandano ya kuvuruga amani kabisa, hawa watu weupe hawa..!!
Hata bongo mbona yapo mengi tu. Anza na hayo mkuu. Usikasirishwe na vya mbali wakati ndani mwako ni ya kumwaga
 
Hawa waandamanaji mbona uandamanaji wao hauonyeshi uhusiano wowote ule na kifo cha George Floyd? Yaani wao wanaiba na kuchoma majengo? Hayo majengo ni ya askari Polisi? Hizo mali ni za Polisi?
Yaani wanaharibu their own community na kuwatia hasara wana community wenzao!!!
 
ETI WANACHUNGUZA KUANGALIA POLIS KAMA ALIKIUKA SHERIA !!!!
KWELI MTU MWEUSI HUKO MAREKANI NI KAMA MPALESTINA, NI UONEVU WA WAZI WAZI !!!

DUNIA IMEONA JAMAA AMEWEKEWA GOTI NA ALALAMIKA KUWA ALIKUWA HAWEZI KUPUMUA, SOJA AMEKAZANA KUMKANDAMIZA KWA GOTI SASA MTU AMEKUFA ETI WAO WANASEMA WANACHUNGUZA IKIWA ASKARI ALIKIUKA SHERIA!!!!
KWELI TAIFA HILO NI JANGA KWA DUNIA.
Ulitaka iweje?,Akamatwe na kunyongwa hadharani bila mahakama kuamua?,,Hata North Korea watu huwa wanahukumiwa mahakamani kabla ya kuuawa...
Watu wameachishwa kazi kwanza,kesi imepewa hadhi ya dharura means inatakiwa isikilizwe haraka hukumu itoke..Bado mnaona haitoshi mnalalamika tu..Justice ni process siyo mihemko bana.
 
Hata bingo mbina yapo mengi tu. Anza na hayi mkuu. Usikasirishwe na vya mbali wakati ndani mwako ni ya kumwaga
Majamaa yamechoma maduka na store offices mtaa mzima,wanaiba na vitu dukani yaani kama wahuni wa manzese tu...Onyesha hasira andamana hadi ikulu tukana pale,sio kuchoma biashara ya mtu hata hausiki amekaa zake home..Kwa uhuni ule ndio maana hata hao wazungu wanawadharau tu watu weusi,..Ule uhuni wa kuiba bidhaa dukani kama kibaka utaheshimika na nani?..
 
Chadema wanawapenda sana watu weupe
Hili ni miongoni mwa matukio yaliyonijaza hasira na hata kunitesa kisaikolojia, ningekuwa US nadhani ningekuwa mstari wa mbele kufanya maandano ya kuvuruga amani kabisa, hawa watu weupe hawa..!!
 
Hawa waandamanaji mbona uandamanaji wao hauonyeshi uhusiano wowote ule na kifo cha George Floyd? Yaani wao wanaiba na kuchoma majengo? Hayo majengo ni ya askari Polisi? Hizo mali ni za Polisi?
Yaani wanaharibu their own community na kuwatia hasara wana community wenzao!!!
Wanaitwa "waandamanaji wenye hasira"..😂😂😂
 
Back
Top Bottom