Ni kweli. Lakini movie unatakiwa ukitoka ukumbi wa cinema utoke umeielewa. Siyo unahitaji tena kupata ufafanuzi au kungia google ili uielewe. Katika watu mia walioangalia TENET au Inception kwa mara ya kwanza ukumbini inawezekana walioielewa hawafiki watano. Si kosa lao, ni kosa la muandaaji.Thats the idea mkuu, ndo maana mleta uzi akasema MIND BENDING/BLOWING MOVIES.Unatakiwa utulie ndo ucheki movie uielewe. Sio kama hiyo Sissu sijui Susso alotaja mdau juu huko, what a waste of 2hours
We live a twilight world
Movie ya ovyo kuwahi kutokea duniani, kweli watu hawafahamu muvi nzuriSissu
Nilidownload hata Mimi ila ni ovyo ,nishaofuta kitamboHii movie ya sissu nilisoma kuhusu humu ila sikuwa hata na haku ya kuitazma, juzi dogo kaidownload kwa ajili yangu nikaamua kuitazama. Sikuipenda na wala sikuona chochote cha kushtua...
Kuna Get Out
Now you see me, now you see me not
Ni Movie nzuri sana hii.Ongeza Oppenheimer kwenye list,
Time ni nzuri sana. Nitaongeza kwenye list. Ngoja niitafute Infinite pia.1.Ifinite
2.Time