yaani wewe....
Lady doctor
my wii hutaki mume????
love u more honey
wii kidonda hakijapona!!!!!
maumivu ya kuachwa bado yananitesa!!!!!
Njoo basi Heaven on earth wangu, njoo nikupende plz! si unaona hata wifi zako Lady doctor na mimisa wanakusupport! plz fungua moyo wako basi jamani! nahitaji kukupenda plz! moyo umekudondokea!
na mimi je?
mimisa mapenzi raha jamanilove u more honey
nakuitia Heaven on earth
TheDealer hapa nafunga na nipo katika maombi
maalum kupata mume mwema.......
lakin kama ni wewe,mbona mungu amenijibu haraka saana
namviziavizia lakini bado hali sio nzuri, Heaven on earth fungua moyo plz! Lady doctor mwambie basi moyo wangu umemdondokea!
Achana na yule pinduapindua UNDENIABLE njoo huku chukua ma-healing of love! nichumu basi nakuomba!
ngoja nijikaushe!!!!!
wee naweee limoyo lako linadondoka dondoka ovyo, ngoja nimtafute nurse wangu shansarie augongee misumali ili usianguke tena
wii kidonda hakijapona!!!!!
maumivu ya kuachwa bado yananitesa!!!!!
nakuitia Heaven on earth
TheDealer hapa nafunga na nipo katika maombi
maalum kupata mume mwema.......
lakin kama ni wewe,mbona mungu amenijibu haraka saana